Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unafiki upi, attention seeker wewe.
[emoji117]Nilikuwa naku heshimu bro, ila Ume kuja na piho za kiupinde upinde.
[emoji117]eti Wana hangaikakwa Dem wangu, for real hebu acha uwenda wazimu[emoji848][emoji850]
Nilikataa hivi mambo, ila naona unataka kunirudisha nyuma

Tulia, Ila nawaambia ukweli acheni hizo mambo za kike.

Sipo tena tayari kuanza malumbano humu. Ila unafki mnaoandika hapa ndio umenilazimisha niwajibu, tusiende mbali najua unajua
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Upo aunt yangu
Shangaziiii au mke mwenzangu, mie nipoo.
Nasomaa manjegekaa ya Selfika, [emoji95] limelipuliwa leo.

Acha tuone mashambulizi na maangamiziii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
Uduguu umefikiwa na wee, mbna sitakii kuaminiii
Selfika ya motooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shangaziiii au mke mwenzangu, mie nipoo.
Nasomaa manjegekaa ya Selfika, [emoji95] limelipuliwa leo.

Acha tuone mashambulizi na maangamiziii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mke mwenza ligi imenishinda nimekuachia wee kiboko 😀 hapa Leo pamoto usilale aunt
 
Nilikataa hivi mambo, ila naona unataka kunirudisha nyuma

Tulia, Ila nawaambia ukweli acheni hizo mambo za kike.

Sipo tena tayari kuanza malumbano humu. Ila unafki mnaoandika hapa ndio umenilazimisha niwajibu, tusiende mbali najua unajua
Sijui chochote, ume Anza kuwa diss mamen wote wa selfika Humu.
👉Eti Wana tabia za kike, hio sio nonsese bro🤔.
👉Yaani kisa mapenzi yenu, ndo ukejeli hadhira.
👉 Taratibu bro,
 
Mimi sina mwezangu na kama kitu nafanya mimi hapa basi nafanya kwa maamuzi yangu ndio maana nilikwambia kama unaona mtu anakosea sehemu mfwate mwambie private na sio hadharani mbele za watu kutafuta sifa uko sio kurekebishana ni kufedheheshana mzee wewe umeona mm nakosea nifwatw niambie uamuzi uwe ni wangu kuacha au kuendelea
Kutaka kuwapa watu faida tu, lakini naamini Kuna changes utafanya.
 
Uduguu umefikiwa na wee, mbna sitakii kuaminiii
Selfika ya motooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ujinga mtupu mtu mmoja ana id lukuki mpk za kike afu muda wote kutafuta chokochoko piem za watu!!!
Afu mwenzao nawaona wapumbavu tyuuu!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaweza kuona mtu anamdis coca shoga kumbe yeye ndo shoga mkuu mwenyewe woiiiiiihhh!!! [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Sijui chochote, ume Anza kuwa diss mamen wote wa selfika Humu.
[emoji117]Eti Wana tabia za kike, hio sio nonsese bro[emoji848].
[emoji117]Yaani kisa mapenzi yenu, ndo ukejeli hadhira.
[emoji117] Taratibu bro,
Sijasema wote, futa neno wote. Mnaofanya ukike kike mnajijua.

Kuna mambo achieni wanawake.

Nimemaliza, sitaki kudisappoint tena watu. Ila kuona mnaandika unafki ndio imefanya niwaambie hili.

Bro acheni hizi.
 
Mke mwenza ligi imenishinda nimekuachia wee kiboko [emoji3] hapa Leo pamoto usilale aunt
Aunt hii sio ya kusimuliwaa, kaa macho uone njegeka zinaibuliwa hapaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unafikii haudumu, nimeaminiii wallah.
Na hawa? Uwiiiiiih
 
Kutaka kuwapa watu faida tu, lakini naamini Kuna changes utafanya.
Sasa hiyo sio njia ya kurekebishana kwa wanaume unakuja kunipondea mbele za mademu ili? Nichane kiume ila kama ulivyo sema kutaka kuwapa watu faida wape iyo faida huwenda watamiliki ata kiwanja goba cha mkopo
 
Aunt hii sio ya kusimuliwaa, kaa macho uone njegeka zinaibuliwa hapaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unafikii haudumu, nimeaminiii wallah.
Na hawa? Uwiiiiiih
😂😂😂Tulia hapohapo
 
Ujinga mtupu mtu mmoja ana id lukuki mpk za kike afu muda wote kutafuta chokochoko piem za watu!!!
Afu mwenzao nawaona wapumbavu tyuuu!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaweza kuona mtu anamdis coca shoga kumbe yeye ndo shoga mkuu mwenyewe woiiiiiihhh!!! [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu nawajua kuliko wanavyojijua, cha ajabu wanapita njia yanguu
Wala hawanisumbuiii, nilichagua kuwa kimyaa nimewazidiii kwa vingiiii mnoooo.

Habari wanayooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijasema wote, futa neno wote. Mnaofanya ukike kike mnajijua.

Kuna mambo achieni wanawake.

Nimemaliza, sitaki kudisappoint tena watu. Ila kuona mnaandika unafki ndio imefanya niwaambie hili.

Bro acheni hizi.
Au we wa kike mjuba??, Maana ujasiri wa kutukana ma men wenzio una utoa wapi???
👉Ma men tuna zingatia itifaki, so una leta pigo za kiwaki 🤔
 
Back
Top Bottom