Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Afu shem km nakufahamu haki sio uongo?!!! Hii sura japo umeikata ni wewe
Na mimi nakufahamu shem 🤣🤣🤣
Basi tunafahaminana🤣🤣🤣🤣
 
Kwa nini mtu uigize jukwaani una heshima kumbe pm ni msambaza uwongo na unafiki 😬😁😁
Kipenz kunawatu ubinadamu hawaujui kabisa Kuna mwingine kabla ya kufanya jambo anajiuliza akiona halina faida anaachana nalo

Mwingine hajui Hilo hajiuliz hili nalofanya linafaida gani,kwanin nimfanyie mwenzangu,nikilifanya atajisikiaje ilo hawana wanaangalia maslahi ya midomo Yao ilimradi waonekane wanamjua kilamtu
 
Wapumbavu wachache wasije fanya uache kutujali majobless


Kumbuka unamkopesha Mungu.


Usiache kuweka vocha..Kuna vijana zinaaasukuma sana maishani.
Mimi tena mdogo wangu
Ingekua ni kuacha nibgeshaacha kitambo
Mimi nitaselfika tu labda mambo yayumbe tu
 
Bora mm najulikana omba omba kuliko nijifiche kuwa sina dhiki wakati zipo humu wananiita mzee wa kupenda kitonga nimekubaliana na hali na uzuri maboss hamniangushi ndugu zangu

Niunge na me tuombe ombe wote basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Niambie me basi thithemiii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Walivyo wafukunyuku wanamjua.
Sema hizi stori zao hazimtishi🤣

Tulikuwa tunachat sana humu😂😂
Tushakuwa wakubwa,tumeacha.
Yupo busy kutafuta hela kijana wa watu.
 
Mimi tena mdogo wangu
Ingekua ni kuacha nibgeshaacha kitambo
Mimi nitaselfika tu labda mambo yayumbe tu
Nilikuwa sina habari
Kumbe Kuna matukio ya wiki mapya likiwemo hili la jezi.

Kweli ni habari za hapa na pale🤣
 
Walivyo wafukunyuku wanamjua.
Sema hizi stori zao hazimtishi[emoji1787]

Tulikuwa tunachat sana humu[emoji23][emoji23]
Tushakuwa wakubwa,tumeacha.
Yupo busy kutafuta hela kijana wa watu.

Me mgeni humu emu niambie basi, mambo mengi nayajulia hapa hapa [emoji4][emoji4]
 
Humu jf domo zege Ni nyingi Sana. Hii ya kuibukia vivuli ndio only option.

Na Hawa dada zangu nahisi some of them Ni rejected huko kitaa na hii ndio only option yao ya kujitutumua. Maninah maana kila siku wanapigania madudu ya madomo zege ya jf.
😅😅😅 Umemaliza mzee wanguu.. Huu ndio ukweli 100%... acha nikafanye yangu sasa.. toto kama zimeshushwaaa mzee
 
Ngoja nikuletee sura lake ulione kwanza yaani yupo km mbuni anayejifunza kukimbia nywele kichwani hazieleweki sijui kapaka zazuu na vyenyewe fupi bwaaahaaa [emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]

Ngozi ya uso ipo km ya kenge mafuta yamegoma nyie mi sitaki, si bora angekataa kuumbwa mwanamke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuuu selfika waijuaa? Waisikia? Wee hayaa tyuuh,
Ila ndo nimechekaa sanaaa, mbavu zinauma wallah.
 
Back
Top Bottom