Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimestaafu, JF iko kiganjani kwangu, haitikisiki wala haisumbuiii.
Mpe habariii, akachezee anakochezagaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF bhana full manjegekaaa, ya humu nayaacha humu, afu mie sio shida zangu.
Hapa umekaza sana
 
Siku hizi umeacha kuchamba watu??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umenikumbusha mbali
Kuna jamaa alinambia yaani nyie mnaomwuote huyo dogo nikikutana na nyie nawacharaza fimbo

Halafu dogo nikikutana naye namfunga jiwe akafie baharini
Nilicheka nikakaa chini[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom