Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wapuuzi wanafaa kupuuziwa
Umuache ajipe airtime akichoka ananyamaza, kakuta watu wako tangu 2007 halafu anakuja kujifanya anajua watu humu ndani kama amezaliwa nao
Pathetic!
Watu aina ya penseli wamelaaniwa. Hata kwenye maandiko yalishasema kuhusu hawa watu, ndio maana kule sodoma walichomwa moto.

Penseli amezaliwa mwanaume, kwa makusudi na tamaa ndogondogo ameamua kuvua ubingwa.
 
Nilijaribu😆😆😆
Wuuueeehhhh nimenyanyua mikono juu
Nlitengeneza kwa Diddy expert kwa 70,000 mbona nlinyooka, nlivyotoka hapo ni mimi na knotless zangu za 20,000
Usipozimaintain vizuri mbona utaonekana kama kichaa🤣

Wajaribu waone mziki wake
 
Umehamia kwa Coca [emoji1787]
Katakutukana
Kajeshi ka mtu mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimestaafu, JF iko kiganjani kwangu, haitikisiki wala haisumbuiii.
Mpe habariii, akachezee anakochezagaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF bhana full manjegekaaa, ya humu nayaacha humu, afu mie sio shida zangu.
 
Mtu kama mimi nimelaaniwa. Hata kwenye maandiko yalishasema kuhusu hawa watu, ndio maana kule dodoma walichomwa moto.

Nikki wa pili amezaliwa mwanaume, kwa makusudi na tamaa ndogondogo ameamua kuvua ubingwa.
Duuh pole sana
 
Back
Top Bottom