Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,683
- 208,884
Piga block mbwa mbwa wote ๐๐๐๐๐๐
Kumbe hadi PM kwa wanaume wenzie anaenda, mbona kuna makubwa huku
Mie juzi kaniongelea sana, nishamuona mjinga nimemuacha ajitekenye, hasara tupu๐ฎ
Chuo ameenda kusomea ujinga