Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hadi Lenie Mtumishi mwenzetu umeandika lugha Kali hivi!
Kweli umeboreka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna saa mtu unaamua zako kumind your own business Ila bado watu watakuchokonoa puani mradi tu wakukwaze.

Mimi ni disminder sana sema tu leo kuna vitu nilikunywa vimenivuruga🤣🤣

Wanaboa sana watu humu, kuchafuana kijinga
 
Mpe pole dada wa watu.. Muambie bro big anakupa pole.. muambie sasa hivi nina kilo 40kg [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliishia kumuonea huruma
Ndo aliniambia

Nikamwambia habari sina[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Sielewi hata ni akina nani wanamfedhehesha dada wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule baba wenzake wanampelekea umbea
Na yeye anautoa nje
🤣🤣
Hivi unajua wale sio wazima?
Sema napenda sekta yake ya kukana
Mjomba anajua kukana yule 😂😂😂
Baba mstaarabu sana yule na ananikubali sana so asingeweza kuona nachafuliwa akakaa kimya 🤣🤣🤣🤣

Nami nasemajeee nampenda tu sana🥰
 
Back
Top Bottom