cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,367
- 188,067
Yupoo mbna humu humu, siku hizi hawagi sana lakini. Sasa imagine kipindi kilee napangua jopoo LA watu humu ndaniii, kwa I'd hii hii.Siku hizi umeacha kuchamba watu??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha mbali
Kuna jamaa alinambia yaani nyie mnaomwuote huyo dogo nikikutana na nyie nawacharaza fimbo
Halafu dogo nikikutana naye namfunga jiwe akafie baharini
Nilicheka nikakaa chini[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu leo mtu anasema nafungua I'd mpya nimtukanee!! Tena kwa kitu kisicho na maana, hivi ananijua au ananisikiaaa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] selfika imevamiwaaa, wallah khaaah.