Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,330
Wewe umtaki tena mjep? 😂😂😂😂
Wewe umtaki tena mjep? 😂😂😂😂
few seconds..Weye haribu tu.. 😊😊😊
kwako sina nenoo.. chochote ni okay
Asante sana mdogo wangu!Pole sana bro
Sasa wewe una ubaya na nani humu ndani[emoji23]
Au wanaona unawachukulia wanawake wao
Anataka puccy afanyie nini? Yeye mwenyewe ni kama anayohuyo Penseli 4 ana stress hapati puccy[emoji28] ndo maana anakua na tabia za ajabu
[emoji1787][emoji1787]Sijui mwenyewe ulitaka kusema nini?
hata wewe mdogo wangu [emoji3061][emoji3061][emoji3061]
huyo mtu hatokuwa na maisha marefu labda sio mimi.. bora waendelee kunichafua mie ila wasiwaguse wadogo zanguu.. Kama sio mimi hicho kikundi kinacho sambaza hizi propaganda wakivuka huu mwaka.. nitaondoka mie ... Kuna mtu alitumiwa pm ananiheshimu sana akanionesha mikekaa nikasema mimi huyu au kuna mwingine.. atachomoka mmoja baada ya mwingine.. wataona kama utani ila utakuja niambia hapa zikianza tanzia ..
Nishamlipua jana nimemaliza kesi mwenyeweMlete tumalize kesi, usikae na vinyongo bana
Makubaliano si yalikuwa ni kuachana na any kind of drama frm Jf? Then why u keep on? Huwezi kuignore? Kublock pia? Eishhhh
Better urudi kwenye ile ID nyingine... Romeo na wewe wa 2021.
Yule niliyekuwa nampigia simu mpaka inakuwa ya moto [emoji1787][emoji1787]
Mxieeeeeew.
Ninyonyeshe mtoto alale.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara nitasikia wamenitungia stori kuwa nina mimba ya mtu humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu Mimi habari sina[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂 ni muoga ila nikichukia siogop kitukuu cha mtumeWewe mbona unaonekana muoga [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenzio nimetoka kuchambana na cha pombe wa jf muda sio mrefu mwenyewe kala njoro, shenzy zake
[emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061] maskini mama mchungaji Heaven Sent hata kusikia sauti yangu au yake achana kuonana tu haijawai.. tokea..
Hawa watasepa mmoja baada ya mwingine ni kikundi cha watu..
Nimekuwa mualifu kiasia gani hadi kutembea nawe mdogo wangu dah [emoji17][emoji17][emoji17]....
Mna chama chenu kabisa humu? Hapo bado bichwa komweDogo ulipotea nilikumiss [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
🤣🤣🤣🤣🤣
Siku za nyuma kulikuwa na yule mchagga aliyekuwa anakupenda na ukasema kweli mnapendana kumbuka hiyo thready maana sijamshika jina ila ulikuwa unadai ni unampenda sina uongo au mlikuwa mnataniana na sipendi uongee kitu nataka uongee ila ni ukweli ila sikumbuki post yenyewe wewe ndio utamkumbuka ila kingine huna ID ingine ukawa unanipondea au kuna kitu nimekukosea hadi uwe unanijibu hivyo napenda kujua . Maana leo nimeanza kupokea matusi sio mazuri , kingine umewahi sikia nipo na mtu humu , halafu cha mwisho umewahi nifahamugi mie umeniona mahali popote ukaambiwa huyu ni unique flower nataka kufahamu hilo .Unanambia mie au unanifananishaa? Kipi unachotaka niongee huo ukweli unao utaka? Na huyo mchagga ni yupii??
Hebu sema kwani!!
😬😬😬 sema nataka nitoe fundisho ... wasirudie , naandika kama utani.. ila mtajionea wenyewe hapa...Makubaliano si yalikuwa ni kuachana na any kind of drama frm Jf? Then why u keep on? Huwezi kuignore? Kublock pia? Eishhhh
Better urudi kwenye ile ID nyingine... Romeo na wewe wa 2021.
Yule niliyekuwa nampigia simu mpaka inakuwa ya moto 🤣🤣
Mxieeeeeew.
Ninyonyeshe mtoto alale.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani kuna nn uduguuu?? Mbna uko winja winja sanaa??
AiseeeNina chama changu kabisa humu ndani mimi na bichwa komwe