Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndio mkuu we unatumia nn?

Good dawa
8181560C-7BBC-48BE-A919-FEB23B31EA48.jpeg
 
Kwanini ulibadilisha ID ukawa unanitukana nakusema sema ovyo mie mwanaume na sina ligi yako mi najua kuwa niwewe cocastic kwanini au siruhusiwi kuwa free humu mbona wewe sikuwekei kipimo cha kuongea na mtu sasa ni hivi sipendi kufatiliwa kiboya humu kila mtu anahuru autakao maana hata hili bando no one ameniwekea na hii account sio wewe umeni creatia kuanzia leo wewe na group lako mnikome kufuatilia kifala sipendi nuksi zenu shida zenu kalalieni kwenyw magodoro yenu kama huwezi kuongea kiakili maneno machafu siwezani nayo .
 
Aaah! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unique Flower nilikwambia huyu muongo
Sijali kuhusu Mjep mie najali kuhusu huyu cocastic alilogin kwa account ingine akiaanza kunitusi kisa mtu simjui kwa hiyo mie nisiwe namatani na mtu kisa mtu fulani anamtu mimi sijali Mjep wala najali heshima yangu na sina muda na mtu simjui na wala hawezi kunisaidia nilipo hapa sasa hivi so mimi sipendi kuzoewa kisa eti mtu anamtu
 
Back
Top Bottom