Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Siku za nyuma kulikuwa na yule mchagga aliyekuwa anakupenda na ukasema kweli mnapendana kumbuka hiyo thready maana sijamshika jina ila ulikuwa unadai ni unampenda sina uongo au mlikuwa mnataniana na sipendi uongee kitu nataka uongee ila ni ukweli ila sikumbuki post yenyewe wewe ndio utamkumbuka ila kingine huna ID ingine ukawa unanipondea au kuna kitu nimekukosea hadi uwe unanijibu hivyo napenda kujua . Maana leo nimeanza kupokea matusi sio mazuri , kingine umewahi sikia nipo na mtu humu , halafu cha mwisho umewahi nifahamugi mie umeniona mahali popote ukaambiwa huyu ni unique flower nataka kufahamu hilo .
…….🧐
 
ko utawaua?? Kweli umekasirika
Watakufa mie siui.. ila watukufa mmoja baada ya mwingine.. mambo ya kijinga kabisa wanafanya.. nimechukia sana.. kuwachafua watu nimelala nao iilhali hata wengine sijawai waona.. kiasi kwamba wana waharibia cv hao watu ukute wangepata mchumba humu.. ila wakisha onekana wamelala na mie mgonjwaa wanapoteza network.. mie kuchafuliwa mwenyewe sawa ila wasi wahusishe wengine.. maana najua nafamilia yangu haya mataka taka hayawezi fika huku
 
maskini mama mchungaji Heaven Sent hata kusikia sauti yangu au yake achana kuonana tu haijawai.. tokea..

Hawa watasepa mmoja baada ya mwingine ni kikundi cha watu..

Nimekuwa mualifu kiasia gani hadi kutembea nawe mdogo wangu dah ....
Nilimuonea huruma
Nikasema heri hata sisi tumekutana mara kadhaa tukapiga stori

HS hajui hata unafananiaje
Dada mtu mzima kama huyu jamani!

Heri wadeal na sisi watoto

Ngoja nitupie kale kapicha ka Mlimani City Sema hawachelewi kusema tumevaa sare na tumefanya yetu.
Hawajui hata kama ndugu zetu ndo waliotupiga picha

Hahaha picha ya Audi kipindi kile umekuja kuniona chuo wakati wa msiba inataka watoa watu roho,
Si waombe lift nao wapande

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa humu kuunganisha dot hawajambo sana ndio maan nikikutana na mtu hapa jf hakuna anae jua labda aje aseme yeye na akija kusema yeye aweke na picha ya pamoja

Be humble mkuu mambo madogo sana hayo shida hawakuli wakashiba af wanatucheka sisi tunao kula kwa shemeji tukashiba
Na sisi tuliweka picha ya pamoja

Ndo hizo wametengenezea picha

Mimi wananichekesha
Maana siku napata hizo stori yaani nilicheka sana.

Kumbe hadi jobless mimi nafuatiliwa aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mdogo wangu!

Kumbe mie utani utani watu wanajua kweli..
Kitu kibaya sana kuishi kwa hisia, humu JF sijawai lala hata na mwanamke mmoja na haitakaa ikatokea hilo.. lakini watu wanalazimisha tu..

Sema nini mdogo wangu Darlin .. mie nitamalizana nao kwa namna yangu.. nayo ijua.. wamenichafua ile mbaya.. alafu wengine wanafiki kinoma wana chati na mie hapa shenzi zao kabisaa

Ule wimbo Joti anasema, kumbe marafiki nyoka, wengine ni makenge, wengine ni mimamba
Ndio unao apply huku JF.

Pole bana, ukisema u deal nao uta deal na wangapi, raha ya haya mambo mtu anajitekenya halafu anaacha mwenywe
 
Nilimuonea huruma
Nikasema heri hata sisi tumekutana mara kadhaa tukapiga stori

HS hajui hata inafananiaje
Dada mtu mzima kama huyu jamani!

Heri wadeal na sisi watoto

Ngoja nitupie kale kapicha ka Mlimani City Sema hawachelewi kusema tumevaa sare na tumefanya yetu.
Hawajui hata kama ndugu zetu ndo waliotupiga picha

Hahaha picha ya Audi kipindi kile umekuja kuniona chuo wakati wa msiba inataka watoa watu roho,
Si waombe lift nao wapande

Sent using Jamii Forums mobile app
Imeniuma kweli, alafu walivo wapuuzi nilipo pita nimeacha grid ya taifa... wanawachafu watu bure tu..

Ningekuja na Benz wangesema nimekuoa kabisa sasa 😅😅😅😅

Unajua nini mdogo wangu, Kinachosumbua wengine humu wivu tu..
 
Watakufa mie siui.. ila watukufa mmoja baada ya mwingine.. mambo ya kijinga kabisa wanafanya.. nimechukia sana.. kuwachafua watu nimelala nao iilhali hata wengine sijawai waona.. kiasi kwamba wana waharibia cv hao watu ukute wangepata mchumba humu.. ila wakisha onekana wamelala na mie mgonjwaa wanapoteza network.. mie kuchafuliwa mwenyewe sawa ila wasi wahusishe wengine.. maana najua nafamilia yangu haya mataka taka hayawezi fika huku

Pole bro achana nao, mambo ya kuzushiwa yanauma sema ndo binadamu midomo mali yao hawalipii VAT

Km vipi wapotezee, kwan wanaongeza nini kwenye maisha yao
 
Siku za nyuma kulikuwa na yule mchagga aliyekuwa anakupenda na ukasema kweli mnapendana kumbuka hiyo thready maana sijamshika jina ila ulikuwa unadai ni unampenda sina uongo au mlikuwa mnataniana na sipendi uongee kitu nataka uongee ila ni ukweli ila sikumbuki post yenyewe wewe ndio utamkumbuka ila kingine huna ID ingine ukawa unanipondea au kuna kitu nimekukosea hadi uwe unanijibu hivyo napenda kujua . Maana leo nimeanza kupokea matusi sio mazuri , kingine umewahi sikia nipo na mtu humu , halafu cha mwisho umewahi nifahamugi mie umeniona mahali popote ukaambiwa huyu ni unique flower nataka kufahamu hilo .
Labda km unanifananishaa, rudisha kumbukumbu zako vizuri na umpate muhusika sahihi umtakae,

Cna I'd ingne mie, na sina mda wa kufungua I'd mpyaa eti nianze kujibishana au kukutusii, kwa lipi kubwaa haswaa? Mbna sina chochote cha kukuwaziaa wee?

Tafuta mtu sahihi unaetaka ku battle nae, hii I'd nimepigana vita kubwa na nyingi hapa JF ikiwemo selfika, kwa I'd hii, ilifikia hatua hii I'd ilifungwa mazima na nkaipambania had ikarudi hewani, ndo leo nianze kuhaha na I'd mpyaa? Nilishavuka hizo level, uliza uambiweee, afu mambo ya I'd mpya sio shida zangu.

Deal na muhusika wako, sorry dada.
 
Back
Top Bottom