Ninyonyeshe mtoto [emoji1787][emoji1787]
Asiyejulikana..
Ndo tunakoelekea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na mimba zipo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Selfika kiboko
😅😅😅😅😅 aiseee.. Jioni nilipita hapo wakati narudi home na mama la mama
Imeniuma kweli, alafu walivo wapuuzi nilipo pita nimeacha grid ya taifa... wanawachafu watu bure tu..
Ningekuja na Benz wangesema nimekuoa kabisa sasa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Unajua nini mdogo wangu, Kinachosumbua wengine humu wivu tu..
Dooh pole best, hadi wewe aisee.😔😔😔😔.. dah!
Mie haijaniuma sana, imenikwaza kuwahusisha watu wengine na mie na kuna ambao sijawa hata kuwaona.. naambiwa hadi Tinsley nimekula 😅😅😅 mdogo wangu binti wa watu hakana makuu kale.. katoto ka watu hadi kameikimbia jf ..
Mnapenda kuplay victim 😄 inasaidia nini??Dah! Poa bana ngona nilale mpendwa mie.. ila hili halitoshia salama.. watajuta walichofanya
Sio shida zanguu.Hiv coca mbona una majibu shot sana ta
Ndio mkuu we unatumia nn?B
ado upo kwenye whitedent? 😂😂
Tangia bff afanye yake, unajikutaaaaaMnapenda kuplay victim 😄 inasaidia nini??
Cut off all filthy bitch.. u deserve more than petty's jf dramaz.
Shida zetu sio 😂Sio shida zanguu.
Hahaha Jasiri haachi asili mzeee😅😅😅😅😅 aiseee.. Jioni nilipita hapo wakati narudi home na mama la mama
Nakuletea uduguuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zamani nilipitwa wapi mie jomooooni [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe tuachane na hayo, dagaa zangu nakudai usijisahulishe
Nilivyopata hiyo stori nikasema ah akhsante wanazidi nipaisha Saint Anne mie nilipoa
Natembelea humohumo biashara zangu ziende.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uzi ule wa walionyoa wamefulia ndio nausoma unanifurahisha, nikimaliza nalala
UuwiiiUduguu umefika? Mjep hebu njoo shem tumalize kesi hapa, jirani yako kafika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hainihusuuuuu!!!Shida zetu sio [emoji23]
Bff is a man & half you know.😍Tangia bff afanye yake, unajikutaaaaa
😒😒 nitamalizana nao mmoja mmoja nje ya uringo..[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kumbe na wewe umeungua
Kweli una haki ya kuloga mtu, hapa patakua padogo
Wasemehe tuu