Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]

Shem nikicheka sana tumbo linauma, mimba yangu itatoka bana
Pole shem
Ila kweli member wa jf siku hizi wanapenda umbeya na ugomvi kuliko kula🤣🤣🤣🤣

Hii ni chitchat jamani hapa ni mahali pa kupunguza stress tusigombane kwa fake ID's nyuma ya keyboard
 
Hahahhaha[emoji38][emoji38][emoji38]
Hadi huyo dada, ni mpole sana jaman hanaga shida na mtu, hadi kupitia comments zake anaonekana hapendi ugomvi na mtu
For her sake waloge tuu[emoji19][emoji19]
Rogaaaa, rogaaa wote pambafuuuuu[emoji23]
Yule binti maskini wame mchafua bure bure .. hanaga shida na mtu humu ndani 😅😅😅.. mie tena navyopenda ushirikana mbona watajua wahajui 😅😅😅
 
Dogo acha uchoko.. pita comment zangu kama huzioni.. huna adabu kumaninaa zako.. nikuambie bado mtoto mdogo sanaaa kwangu usione tunacheka humu, ukaona tupo na level sawa utajilaumuu.. kaa na mie mbali kama ukoma.. Nimemaliza subiri vitendo
Bro, you’re worth than that, achana na haya mambo.
Tafadhali
Depal embu mwambie alale huyu, pombe zimetosha😒
 
Dogo acha uchoko.. pita comment zangu kama huzioni.. huna adabu kumaninaa zako.. nikuambie bado mtoto mdogo sanaaa kwangu usione tunacheka humu, ukaona tupo na level sawa utajilaumuu.. kaa na mie mbali kama ukoma.. Nimemaliza subiri vitendo
Haya ndio mambo, nilishangaa mlikua mnamuogopa huyu dunya

Penseli leo kuna battle nyingi, nitakutafuta siku nyingine. Hatujamalizana
 
kitachowapata watajuta.. alafu sitanii wala nini, hapa tutaanza kula mchele tu sie.. wanaboa kuchafua wengine.. unapo zusha mtu flani kalala na mtu flani mbaya sanaa..
Huku watu wana stress, sema nini kwenye ubwabwa hapo nimepapenda😋😋

Kuna wengine wanaume wanasambaza uzushi wa wanawake pm kwa wanaume wenzao. Mapapai nayo ni shida humu ndani
 
Dogo acha uchoko.. pita comment zangu kama huzioni.. huna adabu kumaninaa zako.. nikuambie bado mtoto mdogo sanaaa kwangu usione tunacheka humu, ukaona tupo na level sawa utajilaumuu.. kaa na mie mbali kama ukoma.. Nimemaliza subiri vitendo
Matusi ya class one yanachekesha 😅😅😅😅😅.

Dislike zinakuuma sio eeeh subiria kivumbi leo 🤣🤣🤣🤣
 
[emoji51][emoji51] hawana maaana hawaa viumbe.. walivyo wao wanafikiri wote tupo hivyooo... jumamisi twende beach mdogo wangu.. aisee.. mpe pole mama mchungaji maskini, dada watu kajinyookea wanamuungaisha kwenye matukio ya hovyo hovyo
Nilimuonea huruma[emoji23][emoji23][emoji23]

Sijui hata ni nani alileta hizo habari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dada wa watu anashangaa tu
Akiyanani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yaani nilicheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole shem
Ila kweli member wa jf siku hizi wanapenda umbeya na ugomvi kuliko kula🤣🤣🤣🤣

Hii ni chitchat jamani hapa ni mahali pa kupunguza stress tusigombane kwa fake ID's nyuma ya keyboard
Na wewe sitaki matani nawewe wala mazoea kuanzia leo . Usizani watu humu wapo bikra hapana watu wanaheshima zao sio wanadharaulishwa bila idhini ya mtu kosa eti mazoea
 
Haya sio mambo, ninamuogopa huyu dunya

Penseli leo kuna battle nyingi, nitakutafuta siku nyingine. Hatujamalizana
😅😅😅😅😅 Njoo mikocheni kwa warioba DC uchwara 😎😎😎.

Choko uliyechapiwa mke
 
Huku watu wana stress, sema nini kwenye ubwabwa hapo nimepapenda😋😋

Kuna wengine wanaume wanasambaza uzushi wa wanawake pm kwa wanaume wenzao. Mapapai nayo ni shida humu ndani
Mapapai ya njanoo
Yani kupitia tuu replies unaona kabisa hili linafaa kabisa kuliwa😆😆😆😆
Leo wacha yaanguliwe yaliwe bila chumvi
 
Back
Top Bottom