Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Uuwiii
Shem kama shem umetoa wapi tena huyu kivuruge wangu jamanii
Nitaweka wapi sura yangu mimi wallah
Umeona sasa shem umeharibu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Amefika mwenyewe anasema moyo ulikuwa unamuenda mbio sana
 
[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17].. dah!
Mie haijaniuma sana, imenikwaza kuwahusisha watu wengine na mie na kuna ambao sijawa hata kuwaona.. naambiwa hadi Tinsley nimekula [emoji28][emoji28][emoji28] mdogo wangu binti wa watu hakana makuu kale.. katoto ka watu hadi kameikimbia jf ..

Hahahhaha[emoji38][emoji38][emoji38]
Hadi huyo dada, ni mpole sana jaman hanaga shida na mtu, hadi kupitia comments zake anaonekana hapendi ugomvi na mtu
For her sake waloge tuu[emoji19][emoji19]
Rogaaaa, rogaaa wote pambafuuuuu[emoji23]
 
Imeniuma kweli, alafu walivo wapuuzi nilipo pita nimeacha grid ya taifa... wanawachafu watu bure tu..

Ningekuja na Benz wangesema nimekuoa kabisa sasa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Unajua nini mdogo wangu, Kinachosumbua wengine humu wivu tu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema habari za vyeti zilinichekesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Habari ya mkesha hawaijui, habari ya Kanisani hawaijui

Wamepaona Chimwaga wakaunga stori kuwa alimsindikiza kuchukua cheti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole bro achana nao, mambo ya kuzushiwa yanauma sema ndo binadamu midomo mali yao hawalipii VAT

Km vipi wapotezee, kwan wanaongeza nini kwenye maisha yao
Mimi mambo ya kuzushiwa hayajawahi niuma
Yananichekesha


Yaani washikilie hapohapo wazidi paisha jina langu,nikifungua rasmi bakery ni mteremko tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uuwiii
Shem kama shem umetoa wapi tena huyu kivuruge wangu jamanii
Nitaweka wapi sura yangu mimi wallah
Umeona sasa shem umeharibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachekaa hadi bas, wee Mjep hebu waambie watu, mie ni nani kwakooo?? Mie kujibu naona kaziii.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Haki ya mama
Nimemuona Lenie
Naombeni mkalale

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sijui kaamkia wapi jaman, kaja kama upepo wa kisuli suli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema habari za vyeti zilinichekesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Habari ya mkesha hawaijui, habari ya Kanisani hawaijui

Wamepaona Chimwaga wakaunga stori kuwa alimsindikiza kuchukua cheti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Sent using Jamii Forums mobile app
😬😬 hawana maaana hawaa viumbe.. walivyo wao wanafikiri wote tupo hivyooo... jumamisi twende beach mdogo wangu.. aisee.. mpe pole mama mchungaji maskini, dada watu kajinyookea wanamuungaisha kwenye matukio ya hovyo hovyo
 
Back
Top Bottom