YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Sisi wote humu si vivuli tu?
Vivuli vinaanzaje kuoneana wivu.
Vivuli vya watu halisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi wote humu si vivuli tu?
Vivuli vinaanzaje kuoneana wivu.
😅😅 jf mtu ambae akisema ana file langu naweza rudi nyuma kidogo Depal hata kunifanya niikimbie ID ni huyo tu.. ila wengine wao ndio nitawachania mkekaaa mapemaa tuHumu kunamatango pori ya kwenda 😂😂😂wenye mafile Yao wefungia stoo na funguo wamemeza😂😂
Ukikaona hako katoto kaambie nimekamiss mno.😅😅😅 file la uongo hilooo... jichanganye na tango pori hizo.. mwenye file langu humu na nina muogopa ni Depal tu.. wengine hamnitishi
Haya mtaje aliye bebewa, na aliye beba🤣😂😁🤒Liongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haha sawaUnique Flower ana umbea wa kijinga tu🤣😂😂, Hamna dem aliye chukuliwa🤣🤒
Mr pop starUkikaona hako katoto kaambie nimekamiss mno.
😅😅😅 katoto kwa kila kitu aisee... alafu kana sauti kama hakana dhambiUkikaona hako katoto kaambie nimekamiss mno.
😍😍😍Haha sawa
Unapenda mizozo [emoji119][emoji119][emoji119][emoji23]
WiFi yako kwa Nani, 🤔😂🤣🤣, Kama sio upambe tu🤒Mno wifi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sipendi amani kabisaa…… kwanza kwa raha gani km bandari hatuna???
Nilisema wapambe nuksi😂😂😂WiFi yako kwa Nani, 🤔😂🤣🤣, Kama sio upambe tu🤒
Haya mtaje aliye bebewa, na aliye beba[emoji1787][emoji23][emoji16][emoji855]
Wapambe tu hai😁😂, we una jua nilivyo zezeta kwenu na Aaliyyah 😂😁Wewe unatangaza upo single jf nzima😱
WiFi yako kwa Nani, 🤔😂🤣🤣, Kama sio upambe tu🤒
Wakat wew unautunza uvulana wako😂😂WiFi yako kwa Nani, 🤔😂🤣🤣, Kama sio upambe tu🤒
Nilishakawinda sana naona hakaingii mtegoni, siku nikitua A town katakubali tu.😅😅😅 katoto kwa kila kitu aisee... alafu kana sauti kama hakana dhambi
I dare you to do so🤒🤒🤒, huna file langu lolote😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unayataka kuyarudisha ya nyuma?? Tuanze na file lako kwnn hutaki kuchagua wifi mmoja??