Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji3][emoji3]Kuna watu hz story wanazichukulia serious kabisa wanajua kweli
Me nilikuwaga naingia kama guest nasoma nasepa almost 10yrs
Nikaona napitwa na mengi wacha niingie uwanjani[emoji38][emoji38][emoji38]

Lakini watu wananjunjana kweli humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

We km huamini jiweke kwa mtu kwa utani utaona utakavyoandamwa
 
Kuna mtu tulitaniana kwenye uzi wake
Kidemu fulani kikanifata pm eti we na fulani Kuna nini kati yenu 😀😀😀😀 ndyo kustuka kumbe Kuna couple humu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Aseeew ntaanguka kwenye kiti mimi 😅😅😅😅😅😅😅

Mmmh nani huyo mwenye wivu mpaka kufa duuuh

Aseee kumbe hata wanawake mna njaa ya mahusiano eeeh duuh sikujuaga
 
Kuna mtu tulitaniana kwenye uzi wake
Kidemu fulani kikanifata pm eti we na fulani Kuna nini kati yenu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ndyo kustuka kumbe Kuna couple humu

Si umeona watu walivyo vichaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi wengine wananiuliza Kantri ni kweli DC? Unajua nachekaga na nilivyo kichaa sasa nawajibu, “Hapa niko naye kwenye V8” ebooh kuchoshana tyuuu
 
Lakini watu wananjunjana kweli humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

We km huamini jiweke kwa mtu kwa utani utaona utakavyoandamwa
We ulikuwa hujui auntiee. 😅😅

Tena wakijunjana wanafungua uzi kuelezea walivyokuwa wangongwa na location zao na magonjwa waliyopata.

Kama watoto wa form 2 kumbe wamama kabisa wakunizaa. 🤣🤣🤣🤣

Mi nilikuwa nashangaa kabisa.

Duuuh alafu wanadanganyiwa kupewa mtaji wa biashara na kununuliwa bia za weeknd. 🤣🤣🤣🤣🤣

INAITWA KUPATIKANA KWA MACHANGUDOA. 😆😆😆😆😆.

SEMA NI CHEAP SANA MPUNGA WAKO UBAYA NI GRADE E
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aseeew ntaanguka kwenye kiti mimi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Mmmh nani huyo mwenye wivu mpaka kufa duuuh

Aseee kumbe hata wanawake mna njaa ya mahusiano eeeh duuh sikujuaga

Njaa kali [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Nakunao ndugu mjumbe
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Aseeew ntaanguka kwenye kiti mimi 😅😅😅😅😅😅😅

Mmmh nani huyo mwenye wivu mpaka kufa duuuh

Aseee kumbe hata wanawake mna njaa ya mahusiano eeeh duuh sikujuaga
Wengine hatuna njaa ya chochote Mungu alitubariki mapema sana
Tupo humu kujichanganya na watu na kupata different experience...we don't take things serious
 
We ulikuwa hujui auntiee. 😅😅

Tena wakijunjana wanafungua uzi kuelezea walivyokuwa wangongwa na location zao na magonjwa waliyopata.

Kama watoto wa form 2 kumbe wamama kabisa wakunizaa. 🤣🤣🤣🤣

Mi nilikuwa nashangaa kabisa.

Duuuh alafu wanadanganyiwa kupewa mtaji wa biashara na kununuliwa bia za weeknd. 🤣🤣🤣🤣🤣

INAITWA KUPATIKANA KWA MACHANGUDOA. 😆😆😆😆😆.

SEMA NI CHEAP SANA MPUNGA WAKO UBAYA NI GRADE E
Sema kaka unatuharibia kijiwe hapa
 
Back
Top Bottom