CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Now you knowNilikua sijuiii!!!!!
Now you knowNilikua sijuiii!!!!!
Basi tu ili kujikweza kupitia majina ya watu!!
Wanaona bila kutumia majina ya watu hawatazingatiwa Sijui !!
Mimi ni black mamba 🤣🤣Wadada wa selfika wote weupe [emoji7][emoji7][emoji7]
Na weusi waje jomooooni tuwaone walivyo warembo
Bantu uko vyedi sanaaaa [emoji7]
🤣🤣🤣🤣🤠🤠! Unanisema uduguuu hahahaaaKweli udugu hakuna watu wanachanganyikiwa na ndoa km walimu. Walimu ukiwakuta story zao Mr kafanya hivi, Mr kafanya vile
Mimi nawashauri wanaume wanaotaka mitaji wadate walimu, wanaenda kuombewa mikopo buree kazi yake ni kumbebisha nitakuoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mdogo wangu mshamba_hachekwi naomba ufute hii uliyoniquote ili tuipoteze hii pic please [emoji7]
Asanteeee japo hapa nilipo siwezi hata kuingiza vochaTuselfike wadau
Hii Ina ukweli hahahahhah ukiwakuta wamekaa staff story ni hizo,[emoji125]Kweli udugu hakuna watu wanachanganyikiwa na ndoa km walimu. Walimu ukiwakuta story zao Mr kafanya hivi, Mr kafanya vile
Mimi nawashauri wanaume wanaotaka mitaji wadate walimu, wanaenda kuombewa mikopo buree kazi yake ni kumbebisha nitakuoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watruu na nyotraa zeitruuuu za bundiii 🌚🌚😁!!Hawakiki [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio kweli,, mostly dharau hyo factor sio huyo anayetaka muonane,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpk kakudharau itakua kuna sehemu hamjaenda sawa
Hapana banaaaa🤠🤠🤠! Mnatuoneaaa!! 😂!!Hii Ina ukweli hahahahhah ukiwakuta wamekaa staff story ni hizo,[emoji125]
PoleeAsanteeee japo hapa nilipo siwezi hata kuingiza vocha
mnisamehe bure😅Afu wanao quote pic wananikwaza mimi!!! Unajua inabaki pic sasa sijui wanataka ili iweje?!!
Ebu selfika tukuone😜Mimi ni black mamba 🤣🤣
Hahahhahah sorry,. Mpwayungu katukaririsha ujueHapana banaaaa[emoji1783][emoji1783][emoji1783]! Mnatuoneaaa!! [emoji23]!!
Uwiii kumbe nawewe cute kama mimi. Kazi tunayo. Ndiyo maana naogopa kuselfika 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻Afu wanao quote pic wananikwaza mimi!!! Unajua inabaki pic sasa sijui wanataka ili iweje?!!
Mimi ni black mamba [emoji1787][emoji1787]
Hahahahah... usijali!Hahahhahah sorry,. Mpwayungu katukaririsha ujue
Ulirestore factory settings nini juzikati ulirekebisha hii!!Uwiii kumbe nawewe cute kama mimi. Kazi tunayo. Ndiyo maana naogopa kuselfika 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Uwiii kumbe nawewe cute kama mimi. Kazi tunayo. Ndiyo maana naogopa kuselfika [emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]