YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Aunti kwani hujawahi kuna na wale sura za ng'ombe 😅😅🤣🤣🤣.Hivi wanaume wanaotuponda pisi za jf mbaya wanakutanaga na zipi hizooo?!!!
Mbona wote humu tuko vizuri jamani [emoji12]
Msiwe mnatusemaga hivyoo, mnatakiwa mtusifie tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wana kazi ya kulazimisha wanaume wawafuate pm. Jf kuna wabovu ww ohoo.
We hujui tu yaani hee acha nikae kimya we Endelaa kujidanganya hivyo hivyo kwamba wabovu hawapo utashangaa na nafsi yako.
Hata mi niianzisha thread ya kuponda ujue nalenga baadhi ya watu na najua wanapita huku kimya kimya kama hawaoni vile ila wanajijua
Ila jf kuna madem wabovu bana wee na huwezi fikiria sasa