Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unajua kuna siku nilikonukisha mpk wanaume wakawa wananishangaa hawaamini kabisaaaaa!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tatizo wivu ndio unaniponza
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 we ni noma ila ukiamua utabadilika ni suala la muda tu
Me sitakagi kelele kabisa unanikosea nasimama zangu nasepa
Au nakaa kimya...ht uongee masaa me wala sijali...sina hasira za muda mrefu...nasahau haraka maisha yanaenda
 
Nimeona udugu hii id umebadili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ungeiacha ungekua unawatukana kwa raha zako wanaokufatilia kikubwa bando na muda uwepo tyuuuu
Wa kuwatukana yukwapi sasa lol mie hata kugombana siwezi udugu!!
 
Mimi humu napita humu muda wowote ninaotaka hakuna aliyeniita kujiunga jf wala anayenilipia bando!!!

Kuna demu alinichukia humu kwasababu za kingese kweli afu anakuja piem na vi id vyake fake kuniletea habari za kibaka mmoja. Nikamwambia tunataniana wala hatudate wewe relax jf hakuna bwana usijichoshe

Nilicheka sanaaa aiseee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jf kumbe kuna watu wana mabwana zao kweli?!!
Hahahahahah alijua mke mwenza.
 
Humu hizi flirting kuna pipo zinachukulia siriaz dear!! usishangae Siku ya siku kusikia la kukuhusu kuhusu hizihizi flirting[emoji1783][emoji1783]
Yani watu hawapendiii na hawafurahii kuona marafiki wakifurahi na kucheka humu!ii

Mimi ndio waniachee kabisa sina habaree na mtu, niko kivyangu afu hii id ni ya muda ina 8yrs tena nilikifungua sababu ya kutaka kupooza kero za jukwaa la siasa

Ila nina kauchizi kangu ako nikikaamsha inakua mtafutano [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimeona udugu hii id umebadili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ungeiacha ungekua unawatukana kwa raha zako wanaokufatilia kikubwa bando na muda uwepo tyuuuu
Nimebadili username tu uduguuu sio id afu kumbe watu wanapenda majinaa ya watuuu wanapenda kusafiria majinaaaa!! Nivobadili tu ile ikaibiwa🤠😁!!
 
Mimi ndio waniachee kabisa sina habaree na mtu, niko kivyangu afu hii id ni ya muda ina 8yrs tena nilikifungua sababu ya kutaka kupooza kero za jukwaa la siasa

Ila nina kauchizi kangu ako nikikaamsha inakua mtafutano [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora wee una kichaa chako udugu Mie mpoleee kuna myda wananipanda hadi kichwani lol!
 
Hahahahahah alijua mke mwenza.

Eeh!! Ndiwooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila jf watu wananyanduana kweli ujue!!!!!!

Yule kigagula alikua anahaha anakuja kwangu anatoa ushauri nisimdate huyo mkaka mwingi sana kila dem wake humu, akitoka anamfata huyo kaka nae anampa ushauri khs mimi na kifekero chake!!

Nikamwambia wewe bana ebu acha mshawasha mie sio mke mwenzio ila ukiendelea nitafanya kweli, coz akili zangu mbili mwenzio nitamuiba ulie
 
Nimebadili username tu uduguuu sio id afu kumbe watu wanapenda majinaa ya watuuu wanapenda kusafiria majinaaaa!! Nivobadili tu ile ikaibiwa[emoji1783][emoji16]!!

Wee kweliii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyota inawaka udugu, humu kila siku unapewa maua yako
 
Eeh!! Ndiwooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila jf watu wananyanduana kweli ujue!!!!!!

Yule kigagula alikua anahaha anakuja kwangu anatoa ushauri nisimdate huyo mkaka mwingi sana kila dem wake humu, akitoka anamfata huyo kaka nae anampa ushauri khs mimi na kifekero chake!!

Nikamwambia wewe bana ebu acha mshawasha mie sio mke mwenzio ila ukiendelea nitafanya kweli, coz akili zangu mbili mwenzio nitamuiba ulie
Khakhakhaaaa.. Nacheka kama mazuri uduguuu!!
Humu sijui ndio gia hio mtu akimdondokea mwanaume lazima akandie mwanamke mwenzieee hawawezagi kupambana naharee zao kabisa kutokujiamini tu!!
 
Khakhakhaaaa.. Nacheka kama mazuri uduguuu!!
Humu sijui ndio gia hio mtu akimdondokea mwanaume lazima akandie mwanamke mwenzieee hawawezagi kupambana naharee zao kabisa kutokujiamini tu!!

Tabia za ajabu kweli, mimi sina bwana humu na wala sihitaji Kendrick huku uraiani ananitoshaaa sanaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wa jf wapambane nao wenyewe, nikikosa sana bwana bora nikamdate Mpwayungu mara mia atanichekesha visa vya walimu
 
Back
Top Bottom