YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Nyotraa ya bundiii uduguuu!! [emoji1783]!
Nyota yako nzuri ndiomana unaandamwa udugu, ingekua imefifia usingekua unatajwa kila muda
Nyotraa ya bundiii uduguuu!! [emoji1783]!
Watu wanateseka sio kidogo uduguuu!! Yani maisha ya mtu asiewahusu hata robo ila wanateseka vibaya sana...Kila leo wanawaza la kukuzushia humu ili tu uonekane hovyo !! Wanapata tabu sana kiukweli!
Mie humu nadisiwa Long time kitrambooo udugu mwenyewe sasa nilivo na roho ya kikurya!!🤣🤣🤠🤠!! Walaa siteterekii!!Nyota yako nzuri ndiomana unaandamwa udugu, ingekua imefifia usingekua unatajwa kila muda
Hahahhahaha jamani,Eeh!! Ndiwooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila jf watu wananyanduana kweli ujue!!!!!!
Yule kigagula alikua anahaha anakuja kwangu anatoa ushauri nisimdate huyo mkaka mwingi sana kila dem wake humu, akitoka anamfata huyo kaka nae anampa ushauri khs mimi na kifekero chake!!
Nikamwambia wewe bana ebu acha mshawasha mie sio mke mwenzio ila ukiendelea nitafanya kweli, coz akili zangu mbili mwenzio nitamuiba ulie
Wapi udugu story za kuambiwa tuu mtu anashaukwa anakutungia maneno unabaki kushangaa tu!Mimi nakwambia watukane ooh! Bora wote muonekane vichaa kwan kuna anayekujua?!!
Hahahahahah eti visa vya walimu,Tabia za ajabu kweli, mimi sina bwana humu na wala sihitaji Kendrick huku uraiani ananitoshaaa sanaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wa jf wapambane nao wenyewe, nikikosa sana bwana bora nikamdate Mpwayungu mara mia atanichekesha visa vya walimu
SitokiTulia hapohapo kaka yangu Mjep
Hahahaaa!Hahahahahah eti visa vya walimu,
Walimu tunashambuliwa kweliHahahaaa!
Namie Nimecheka sana avosema visa vya walimu
Acha kabisa mr vocha !!Hebu watuache walimu asee!!🤠😁😁Walimu tunashambuliwa kweli
Yaani no stress [emoji126]Hahahaaa!
Namie Nimecheka sana avosema visa vya walimu
Wapi udugu story za kuambiwa tuu mtu anashaukwa anakutungia maneno unabaki kushangaa tu!
Hahahahahah eti visa vya walimu,
Basi tu ili kujikweza kupitia majina ya watu!!Basi ni kichaa huyo!!! Unamtungiaje story mtu usiyemjua?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi nimeshamkiss boss inatoshaa🤣kiss me ms. bantu😂
Mdogo wangu mshamba_hachekwi naomba ufute hii uliyoniquote ili tuipoteze hii pic please 😍kiss me ms. bantu😂
Wapi udugu story za kuambiwa tuu mtu anashaukwa anakutungia maneno unabaki kushangaa tu!
Tuifute hii kaka ili pic ifutike naona yatizo linaendelea kaka 😍I kiss you😘
Walimu tunashambuliwa kweli