mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,302
- 72,047
Salama tu vipi wewe ??salama kabisa tinsley,
sijui wewe....
Kelele 3 kwa mwachi ake wewee weweee weweweeeeeeUmepata mremboo
Ndo kikubwa hichofreshi tu,
I'm still alive😂
haya sasa niambie,Ndo kikubwa hicho
Vingine mbwembwe .
Wee boots gani hiyoo, khaaahNi buti hata hivyo
Mimi Suma sikuizi





😋😋
bills on you😁😋😋
Nakujaaa
Weka namba kabisaKelele 3 kwa mwachi ake wewee weweee weweweeeeee
Niweke nini sasa😂iweke bana unaogopa nini😂
Asante ila mbona kachumbali wamekata kienyeji
Mbona hamna hata kinyama🙃😂
huu ni uchokozi sasa😂Mbona hamna hata kinyama🙃😂
kwani kuna njia ya kisasa??😂Asante ila mbona kachumbali wamekata kienyeji
Mihogo inakuwa mitamu ikiwa na mishikaki, unafeli mbona😂huu ni uchokozi sasa😂
Nitalipia Jack Palladino leo katukimbia🤣🤣
Mwachiluwi atalipia leo kajaa