Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

school.png
 
Mi mpya tu hapa sina hata 28 bado. Huwa naasoma comments za zamani wakati huu uzi Unaanza, nimefika page 14578 sasa😂

Kuna sehemu nilikuwa nakufananisha mwandiko ndio nikakujua usiku wa jana👍
Imeisha hiyo🏃🏃🏃
Weeeeeehh muongooo!! Wee ni mwenyeji kivingine humuuu acha zakooo!

Afu mbona navokomenti sikuhizi nikama nimeokokaa kabisaaa haaaahh zamanii nilikua mwehuu sanaaa wanaonifahamu vizure wananijuaaa ..😁☺️☺️☺️☺️!!
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Weeeeeehh muongooo!! Wee ni mwenyeji kivingine humuuu acha zakooo!

Afu mbona navokomenti sikuhizi nikama nimeokokaa kabisaaa haaaahh zamanii nilikua mwehuu sanaaa wanaonifahamu vizure wananijuaaa ..[emoji16][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetuliaa mnooo shouzzzz akee,
 
Back
Top Bottom