Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Joto kali ila linatukumbusha kutafuta pesahaya sasa niambie,
au hamna stori leo....
Joto kali ila linatukumbusha kutafuta pesahaya sasa niambie,
au hamna stori leo....
Asante sana bro.
Wee si nitatokelezeaBlue iliyo ivaaa kama rangi ya jf
huu ni unafki wa hali ya juu😂Asante sana bro.
Nimeitamani sana hiyo mihogo nabkachumbari, Umesahau pepsi baridiiii😀
Kweli field inalipa bro, ume advance sana toka kula mihogo mikavua leo unakula na kachumbari 😃
Ilo limepita kabisa ngoja nishibie makande nisije endea Sumburgh watu uko wavuvi wakila nyama chomaWee si nitatokelezea
Itabidi tukionana unipige picha kwenye aifon yako niweke dp wasapu
Yamekuwa hayo mla mihogo mwenzangu😂huu ni unafki wa hali ya juu😂
poa kabisa👍🏾Uko poa bro.
Jack Palladino werayuuuuLenie nishamaliza mwambie Jack Palladino nipo tayari
Kaingia mitini napiga simu hapatikani 🤣🤣🤣Jack Palladino werayuuuu
Kafyofyo beach kyelaToa loc nijoin, hii week nna kazi ya kutembelea na kuonana na membaz wa selfika, walioko Dar.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NipoooJack Palladino werayuuuu
Mapema sanaLenie nishamaliza mwambie Jack Palladino nipo tayari
Utaweza kulipia wewe?Nitalipia Jack Palladino leo katukimbia
Nalipiaj wakat ww umetoka na dolla ukoUtaweza kulipia wewe?
Wee hilo sio boot, skonkonko ya kuziba hyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niache na buti langu chaaaah [emoji23][emoji23][emoji23]
Tobaaaaah!!! Huko tenaa??Kafyofyo beach kyela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee hilo sio boot, skonkonko ya kuziba hyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio njooTobaaaaah!!! Huko tenaa??
Ni skonkonkoo hiyooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Buti bwana koka