Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
mshamba_hachekwi tafuta hela uwe unakula vitu ka hiziHello Friday 🥂View attachment 2687805
mshamba_hachekwi tafuta hela uwe unakula vitu ka hiziHello Friday 🥂View attachment 2687805
Typing error ahahahhUmedangwa? 🧐
Kama nakuona ullivyowakaaa hapo.😍Sawa ila mm nishaoga nimevaa shati la rangi ya mgomba na suruali ya damu ya mzee inawaka kama.satini nimevaa na raba ya rangi nyekundu
Kwani nimekuambia nakuja.kwenu kula mihogo?sipo huko yupo depal
sio poa hio Depal watamuokota mtaroni😂mshamba_hachekwi tafuta hela uwe unakula vitu ka hizi
Nimevaaa na cheni ya gold kama ile ya diamondKama nakuona ullivyowakaaa hapo.😍
tumefika huku??😂nakuja.kwenu kula mihogo?
Sawa kula mzee nakuja arusha nitakaa wiki then manyara
Hapana tumefika njirotumefika huku??😂
Ahahah sina mapesa mkuu nipo.fokoroooo nasomesha mtto wa kakaUje na mihela mingi
Wuuuu jamani mbona utatufunika wote. Me nivaaje sasaNimevaaa na cheni ya gold kama ile ya diamond
Niache na buti langu chaaaah [emoji23][emoji23][emoji23]Wee boots gani hiyoo, khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vaaa satini ya njano na na viaatu vye usiWuuuu jamani mbona utatufunika wote. Me nivaaje sasa
Tafuta hela totoo Hennessy sio chungu wala kalini kali....
kuna ile hennessy black ni chungu balaa😬
Na juu lemba la rangi gani?Vaaa satini ya njano na na viaatu vye usi
Blue iliyo ivaaa kama rangi ya jfNa juu lemba la rangi gani?