Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Napenda zile za zamani mkongwe mwenzangušŸ˜
Weee kwanza zamani ulikua na id ganii najiuliza sipati majibu ujuee hebu ning'ate sikio kwanzaaa!!
Afu kwa story zako za miaka ya 95 huko kweli unaonekana mkongwe wewe!šŸ˜šŸ˜ā˜ŗļø
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Weee kwanza zamani ulikua na id ganii najiuliza sipati majibu ujuee hebu ning'ate sikio kwanzaaa!!
Afu kwa story zako za miaka ya 95 huko kweli unaonekana mkongwe wewe!šŸ˜šŸ˜ā˜ŗļø
We mah niachešŸ˜‚šŸ˜‚
Mi fomu sikisi liva
 
Weeee coca alikwambia hata aumweee mizagamuo ni constant!! Lazima umpeeee[emoji3526][emoji3526][emoji16]!!

Atatupia badaeee cocaa mzunguuuu!!
Asipotupia nistue nitacompaseti mimiii hata za miaka 47 hukooo[emoji3526][emoji3526][emoji3526]!!
Ataonaa baadae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We mah niachešŸ˜‚šŸ˜‚
Mi fomu sikisi liva
šŸ˜šŸ˜šŸ˜ā˜ŗļøā˜ŗļø!!
Mah forever and always !
šŸ•ŗšŸ•ŗšŸ¤øšŸ¤ø!!

Enhee ndio username yako ya karee ipi vileeee🤠!!
 
  • Mshangao
Reactions: 511
Mpitimbi sehemu gan? A pale misheni? Au B Secondary kule had Humbaro?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna dogo alikuwa anatokea huko, tukicheza ukimpiga anasema huendi pitimbi a bibišŸ˜‚šŸ˜‚ alikiwa anapaona kama ulaya yani
 
šŸ˜šŸ˜šŸ˜ā˜ŗļøā˜ŗļø!!
Mah forever and always !
šŸ•ŗšŸ•ŗšŸ¤øšŸ¤ø!!

Enhee ndio username yako za karee ipi vileeee🤠!!
Mi mpya tu hapa sina hata 28 bado. Huwa naasoma comments za zamani wakati huu uzi Unaanza, nimefika page 14578 sasašŸ˜‚

Kuna sehemu nilikuwa nakufananisha mwandiko ndio nikakujua usiku wa janašŸ‘
Imeisha hiyošŸƒšŸƒšŸƒ
 
Back
Top Bottom