Nilikuwa sijaingia,now nishatoka.Unachat uko masjid??
Nilikuwa nshamaliza mimi hapo dogo lao alikuwa anamaliza Diploma yake .So ilikua ni kuangusha mibuyu yu😄😄Elimu gani hapa ulikuwa unamaliza bruh 😄
Inavutia sana
Salama tu vipi wewe ??salama kabisa tinsley,
sijui wewe....
Kelele 3 kwa mwachi ake wewee weweee weweweeeeeeUmepata mremboo
Ndo kikubwa hichofreshi tu,
I'm still alive😂
haya sasa niambie,Ndo kikubwa hicho
Vingine mbwembwe .
Wee boots gani hiyoo, khaaahNi buti hata hivyo[emoji23]
Mimi Suma sikuizi
Tupia bas nikuonee, [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]Nilikuwa sijaingia,now nishatoka.
😋😋
bills on you😁😋😋
Nakujaaa
Weka namba kabisaKelele 3 kwa mwachi ake wewee weweee weweweeeeee
Niweke nini sasa😂iweke bana unaogopa nini😂
Asante ila mbona kachumbali wamekata kienyeji
Mbona hamna hata kinyama🙃😂