Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Auweeeeee [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]!!

Kweli Umenenepaa umenougaajee shoss akeee!!!

Pendeza sana dearr! Rangi ya mtyumeee[emoji108][emoji108][emoji108][emoji8][emoji8]!!


Sante sana kuibless asubuhi Yangu hapa Ijumaa inaenda kuwa barreeeeeeeeddaaa kabesaaa!!!
Fun Fact Friday, [emoji482][emoji482][emoji482]
Weekend zzzzzzzzzzz!!!!!
[emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
 
Mimi sitaki kazi ya ukonda
Siwezi purukushani za barabarani.
Nimemwambia Kwa sababu nimeona ameuliza kuhusu hiyo kazi, na mimi niliona tangazo lao.

Kazi nayoiweza ni ubeki tatu maana shughuli zake nyingi ni nyumbani.
Nimekujibu kule juu, nahisi hujaona comment, naomba link ya hilo tangazo au mawasiliano yao sasa
 
Mkuu niko serious, mimi ni bekitatu natafuta kazi ya ukonda wa mabasi ya mikoani, ikishindikana basi niwe hata konda wa daladala
Kuna wakati unafanya masihara lakini kinywa huumba.

Anyway umechelewa kidogo, kulikuwa na nafasi nyingi Klm bus, nilifanikiwa kuwaunga wawili.

Labda wakati mwingine zikitokea
 
Auweeeeee 😍😍😍😍😍😍!!

Kweli Umenenepaa umenougaajee shoss akeee!!!

Pendeza sana dearr! Rangi ya mtyumeee👌👌👌😘😘!!


Sante sana kuibless asubuhi Yangu hapa Ijumaa inaenda kuwa barreeeeeeeeddaaa kabesaaa!!!
Uchoyo tu na ki cocastic chako.
Amuendi pitimbi a bibi😭
 
Sitaki hata kumuona, jana kanifanya nikeshe kumsubiri halafu akanilingia. Lolote limkute huko aliko leo cocastic na G wake augue asimpe. 😔
Weeee coca alikwambia hata aumweee mizagamuo ni constant!! Lazima umpeeee☺️☺️😁!!

Atatupia badaeee cocaa mzunguuuu!!
Asipotupia nistue nitacompaseti mimiii hata za miaka 47 hukooo☺️☺️☺️!!
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Weeee coca alikwambia hata aumweee mizagamuo ni constant!! Lazima umpeeee☺️☺️😁!!

Atatupia badaeee cocaa mzunguuuu!!
Asipotupia nistue nitacompaseti mimiii hata za miaka 47 hukooo☺️☺️☺️!!
Fanya kunitupia wakati tunamsubiri mrembo😊
 
Back
Top Bottom