Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ah wapi , just few bucks anazo , japo hao wengine hawana .

Kawaida tu , alinikera enzi za Wema , nilikuwa team Wema .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dear bhana, muache bhana Zariii.
Afu mbna Zari hakuwa na ugomvi na wema, ila Mobetto hapo sawaa.

Mashabiki ndo walikua wanaunda biffu wema na zariiii.
 
Kwa sababu ni team September
Namuacha 😂😂😂

Alikuwa anamchokoza yaani yeye kila mwanamke wa Dai anajifanya kumponda .

Acting classy , kumbe kama wenzake tu 😂😂
 
Eeendiwoooooooo ndiwooo granpah mjeshi na aheshimiwe nawatu wotreeee😊!!!
Piga vyombo urefresh akiliiiiii babuu!
Mjukuu wako Mjep
Maisha yafaa nini bila Vyombo, the weekend is here 🥂

Isingekuwa Ujeshi wake, kuna vijana hapa selfika wangejaribu kukuiba lakini kila wakikumbuka mjeshi ana miliki 🔫 inawalazimu watoke speed tu 🏃🏃🏃🤪
 
Nimefurahi kusikia Ofa ya DP World kulikodisha Jukwaa letu la Selfika na JF kwa kipindi kisichojulikana imetupiliwa mbali.

Kongole kwa Wanasheria wetu makini wakiongozwa na mshamba_hachekwi Tinsley Mjep na Wakili msomi rabbitus kuweza kusimamia hili

Sasa tunaweza kunywa John Walker zetu kwa utulivu sasa 🤪

Guys it's Friday 🥂
Dp World 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!

Weee granpah kumbe una ukorofiii hivooo 🤣🤣🤣!!

Mi Nimesikia ilikua inaulizia masoko yalipo na kutangaza biashara tyuuuuu saiii ndio inayeya mazimaaa!!!!!!!😃
 
Kwa sababu ni team September
Namuacha [emoji23][emoji23][emoji23]

Alikuwa anamchokoza yaani yeye kila mwanamke wa Dai anajifanya kumponda .

Acting classy , kumbe kama wenzake tu [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila ukweli Zari ni classic kuliko hao wenginee.
Tatizo watu wanataka Zari awe km kina wema na mobetto, hapanaa zarii hawezii hivyooo.

Ana viwangoo vyakee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dp World [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!

Weee granpah kumbe una ukorofiii hivooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!

Mi Nimesikia ilikua inaulizia masoko yalipo na kutangaza biashara tyuuuuu saiii ndio innayeya mazimaaa!!!!!!!
Wee shogareeeeee nilicho kuambiaa tsupp, mbna kimyaaa.??
 
Kwa nini nisipajue, nitakupiga na migebuka usoni ndio uamini😂
Thubutuuuu!! Unapasikia tyuuu nyie watoto mliozaliwa mijini mkakulia mijini vijijini mnapahadithiwa tu!!

Unipake na mawese kabisa bila kusahau dagaa chakula changuuu🤠🤠!
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Thubutuuuu!! Unapasikia tyuuu nimemiss watoto mlipzaliwa mijini mkakulia mijini vijijini mnapahadithiwa tu!!

Unipake na mawese kabisa bila kusahau dagaa chakula changuuu🤠🤠!
Ngoja nikusaplaizi siku moja, migebuka, dagaa kigoma na mawese. Nitakuongezea kale ka ugali ka kukausha toka burundi😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila ukweli Zari ni classic kuliko hao wenginee.
Tatizo watu wanataka Zari awe km kina wema na mobetto, hapanaa zarii hawezii hivyooo.

Ana viwangoo vyakee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah kila mtu yupo tofauti
Zari has a classy lakini ndo anajisahau muda mwingine .
 
Ngoja nikusaplaizi siku moja, migebuka, dagaa kigoma na mawese. Nitakuongezea kale ka ugali ka kukausha toka burundi😂
Unaitwa Ugali wa lowe!! unateleza tyuuu na ka mgebuka na mawese aahhh acha kabisa!!

Fanya unileteee napenda sana vyakula vya asili na mawese !
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Unaitwa Ugali wa lowe!! unateleza tyuuu na ka mgebuka na mawese aahhh acha kabisa!!

Fanya unileteee napenda sana vyakula vya asili na mawese !
🙌😂😂 Unaujua huo ugali.
Nilikuta unauzwa sokoni nikashangaa sana, unafungiwa kama maandazi vile.

Usijali, maweze yapo ya kutosha, tena yale ya asili kabisa hayajapita kiwandani.
 
Unaitwa Ugali wa lowe!! unateleza tyuuu na ka mgebuka na mawese aahhh acha kabisa!!

Fanya unileteee napenda sana vyakula vya asili na mawese !
Ugali wa lowe ni mzuri sana
Unaweza hata kuubeba safarini ukiwa kwenye treni au hata basi[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Maisha yafaa nini bila Vyombo, the weekend is here 🥂

Isingekuwa Ujeshi wake, kuna vijana hapa selfika wangejaribu kukuiba lakini kila wakikumbuka mjeshi ana miliki 🔫 inawalazimu watoke speed tu 🏃🏃🏃🤪
Mweh mshamba wakuja mwanamke yupoyupo tu naibwaje babu nawee!!
Kwanza Vijana sio fleva zangu mieee wana mambo miambiliiii ishirini kidogoooo😏!
Acha nipambane naharee yangu tyuuuu!!
 
Back
Top Bottom