Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimefurahi kusikia Ofa ya DP World kulikodisha Jukwaa letu la Selfika na JF kwa kipindi kisichojulikana imetupiliwa mbali.

Kongole kwa Wanasheria wetu makini wakiongozwa na mshamba_hachekwi Tinsley Mjep na Wakili msomi rabbitus kuweza kusimamia hili

Sasa tunaweza kunywa John Walker zetu kwa utulivu sasa 🤪

Guys it's Friday 🥂
😂😂😂
Babu shikamoo

Habari njema sana hiyo ,selfika idumu , hapa ni nyumbani .
 
Hio sampo tu Nyingine Zishapakiwa kutolewa Mpaka Nyakiboo hioooo!

Pia Kuna vi gauni vishati sketi pochi viatu na urembo aina zotreeee!!

Shifoni jeans kodray kadeti na matirio aina zote pia unapata[emoji2788]
Watu weuweeeeeeeeee ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
I am taking orders
Simu ziite[emoji23]
Screenshot_20230630-180511.jpg
Screenshot_20230630-180421.jpg
 
Badili mada, toka juzi na bangi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukija unapasha.
Uko poa mrembo[emoji112]
Niko poaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo tunavuta wote sahivi, km kulandukaaa ni woteeee.

Na hatujari loloseee.
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Hongeraaaa dearest shogareeee akee, [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]
Nenda kawapee viwaloo vikaliii, watu wa nyakibooooo.
Aminaaa amina shougaaangu!!
Hata vipensi vya kuchanikachaanika vipoo fanya ukuje kuniungisha uduguuu!!
 
  • Thanks
Reactions: 511
Back
Top Bottom