Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Magonjwa mengi ya kuambukiza husababishwa na ukosefu wa virutubisho vinavyofaa mwilini hasa aina ya ‘allicin’. Kitunguu saumu ni kina virutubisho hivyo na kinaweza kutafunwa tu kilivyo au kupitia mapishi.


Chai moto ya kawaida au ya kijani (green tea) ina vitu muhimu sana vya kuimarisha kinga ya mwili. Unywaji kwa wingi wa chai wakati mtu ana mafua, kutasaidia sana kumpunguzia makali ya mafua
Halafu mie chai ,mara chache sana itokee ndio nakunywa
 
Back
Top Bottom