Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mweh mshamba wakuja mwanamke yupoyupo tu naibwaje babu nawee!!
Kwanza Vijana sio fleva zangu mieee wana mambo miambiliiii ishirini kidogoooo[emoji57]!
Acha nipambane naharee yangu tyuuuu!!
Chukua vijanaaa wee, damu changa, damuya motoo, ukitoka mzagamuoni unatafuta pain killer na maji ya kunywaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha..............

Hii Nchi ingeendelea kutawaliwa na Wazungu hadi walau Mwaka 2000 huenda tungekuwa tumepiga hatua kama Afrika Kusini au zaidi.

Sisi kinachotugharimu ni Rushwa

Eti inasemekana yule Yuda Iskarioti aliyemuuza Yesu ana asili ya Tanzania.

Nikimaliza beer yangu ya nne nitataja Kabila lake 🤪
Nliishawahi kutamani hivi
Tungekuwa mbali sana na kufikia malengo makubwa.

Wakenya wanatucheka kuwa hatuna skyscrapers nyingi
Zipo mbili tu za pale posta .
 
Noma sana
Mheshimiwe wazee wetu

Mimi wazungu nawapenda , wametuletea mambo mazuri , tungebaki vile sijui ingekuwaje .
Basi wenzio hao wazungu ndo hawataki kuwasikia, utaskia wameleta [emoji2380][emoji2380], utadhani watu wanashikiwa bundukii, lol.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chukua vijanaaa wee, damu changa, damuya motoo, ukitoka mzagamuoni unatafuta pain killer na maji ya kunywaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ili nigundue nini miee hekaheka siziwezi uduguuu 🤠😁!
Acha nitulie miee nilienae anitoshelezaaa mpaka nabakiaaa 😛😛😛😛!!
 
  • Thanks
Reactions: 511
Ili nigundue nini miee hekaheka siziwezi udugu [emoji1783][emoji16]!
Acha nitulie nilienae anitoshelezaaa mpaka nabakiaaa [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]!!
Hebu sema kweliiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nliishawahi kutamani hivi
Tungekuwa mbali sana na kufikia malengo makubwa.

Wakenya wanatucheka kuwa hatuna skyscrapers nyingi
Zipo mbili tu za pale posta .
Alichokosea Nyerere ni kutoweka mifumo ya kudhibiti Wizi na Ufisadi baada ya Yeye kuondoka.

Viongozi wenzake waliomfuatia wameitafuna Nchi na wanaendelea kuitafuna as wameifanya shamba la Bibi huku wakiendelea kulindwa na vyombo vya Ulinzi 🙌
 
Basi wenzio hao wazungu ndo hawataki kuwasikia, utaskia wameleta [emoji2380][emoji2380], utadhani watu wanashikiwa bundukii, lol.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heheee balaaa

Mimi nawapenda and nimejikuta nawaiga sana 😂😂😂

Tungebaki washamba sana yani enzi za miaka 47
 
Alichokosea Nyerere ni kutoweka mifumo ya kudhibiti Wizi na Ufisadi baada ya Yeye kuondoka.

Viongozi wenzake waliomfuatia wameitafuna Nchi na wanaendelea kuitafuna as wameifanya shamba la Bibi huku wakiendelea kulindwa na vyombo vya Ulinzi 🙌
So sad
Mimi mambo ya siasa siyapendi , naona yanatesa tu ukifikiria

Nothing will ever change , just crooked system everywhere .
 
Unatakaaa ya Goviii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema nikutengenezee, tena lingozii ntaliweka likubwaaaa.
Govi tenaa 🙌🙌🙌🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🤠
 
Back
Top Bottom