Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi zari imekuaje , nasikia amemuita mumewe vibaya .
Zari kayakanyaga huko London, si alienda na kichaa mwenzangu Giggy mahelaaa, bas tafrani tupuu.

Mumewee kibentenii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnooooo, yaan jeans zangu zotee lazima ziwe ripped, nikikuta nzima nikiipenda nachukua naichanaa ku modify.
Eeh upo wild wewe
Ninayo mmoja tu , na sio sana na niikivaa huwa najishtukia sana .
 
  • Thanks
Reactions: 511
Wewe nahisi ukiikosa wiki tu unaokota makopo. Iko damuni mwako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] week?? Siku 2 tyuuh nakua km mwendawazimuu vilee, gubu na visirani haviishii.

Acha nifie kwa mti nyamaa, nyamaa ngumuu tamuuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zari kayakanyaga huko London, si alienda na kichaa mwenzangu Giggy mahelaaa, bas tafrani tupuu.

Mumewee kibentenii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa simuelewi Zari , huu mwaka mbaya kwake , mara fantana na sasa hivi Lady naa

Kasema akienda kwenye interview za Visa hajielewi na ni f*la .

Aisee poor guy , na jamaa ni 1992, anaendeshwa kabisa na mkewe .
 
Umetisha sana babu yake Antonnia
Chapa vyombo
Its Friday
Antonnia nilishamuoza kwa Mjeshi, hapa nina Mjukuu mwingine nategemea kumuozesha kabla ya December 🤪

Vyombo ni muhimu sana Chifu kutufariji Wanaume Wazee, unajua mkishazeeka kama Mimi hivi unakuta muda wote nabaki nyumbani peke yangu maana Bibi yenu safari kila leo kusalimia Wajukuu zake wa Mjini huko, akija kurudi Kijijini basi ni Disemba, Imagine maisha yangekuwaje bila Vyombo 😅🙌
 
Huwa simuelewi Zari , huu mwaka mbaya kwake , mara fantana na sasa hivi Lady naa

Kasema akienda kwenye interview za Visa hajielewi na ni f*la .

Aisee poor guy , na jamaa ni 1992, anaendeshwa kabisa na mkewe .
Lady naa anaweza wapii kumu handle zari kwa bill na kila kitu?? Wanamuonea wivuu tyuuh. Zarii yuko juu.

Sasa Zari atapata bwana gan wa pekee ake? Wa umru wake wote washakua na familia, yeye abaki na vibenteni vya kuvileaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hehee amelipa deni au bado ??
Kumbe wewe ni team zari

Yeah nimeona yupo 45, umri ushaenda lakini kuna wanaume wengi kati kati angekuwa nae .
 
Mie ni team Zariii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dear Zari hana cha kupotezaaa, hela anazo, na anajitambua mnoo.

Watoto 5, 45yrs akisimama na mabinti yeye anaonekanaa mdogoo.
Wamuachee BL wetuuu, hawamuwezi kwa chochoteee.
 
Makubwa ya jongo 😂😂
Boss wenu anafnya plastic surgeries tu .

Anajitahidi sana kuprove kuwa she's a billionaire , hehe msimu wa tu YFA uanze tu tucheke sie 😂😂
 
Makubwa ya jongo [emoji23][emoji23]
Boss wenu anafnya plastic surgeries tu .

Anajitahidi sana kuprove kuwa she's a billionaire , hehe msimu wa tu YFA uanze tu tucheke sie [emoji23][emoji23]
Bora yeye anazo za kufanyia surgery, hao vidampa wengine wanaishia kuona kwa TV, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwan Dear wee humpendi Zariii?? Woiiiiiiih
 
Ah wapi , just few bucks anazo , japo hao wengine hawana .

Kawaida tu , alinikera enzi za Wema , nilikuwa team Wema .
 
Antonnia nilishamuoza kwa Mjeshi, hapa nina Mjukuu mwingine nategemea kumuozesha kabla ya December 🤪

Vyombo ni muhimu sana Chifu kutufariji Wanaume Wazee, unajua mkishazeeka kama Mimi hivi unakuta muda wote nabaki nyumbani peke yangu maana Bibi yenu safari kila leo kusalimia Wajukuu zake wa Mjini huko, akija kurudi Kijijini basi ni Disemba, Imagine maisha yangekuwaje bila Vyombo 😅🙌
Eeendiwoooooooo ndiwooo granpah mjeshi na aheshimiwe nawatu wotreeee😊!!!
Piga vyombo piga vyombo urefresh akiliiiiii babuu!
Mjukuu wako Mjep Anasemaga maisha ndio hayahayaaa 🤠🤠🤠!!😃
 
Back
Top Bottom