Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,210
- 183,059
Yeah huwa wanauweka unaeza ufunga ukalia mbele ya safari!!Ugali wa lowe ni mzuri sana
Unaweza hata kuubeba safarini ukiwa kwenye treni au hata basi[emoji28][emoji28][emoji28]
Naupenda sana Bk wanaita udaga!
Ukipata mboga ya shombo alooooh ntakula mpaka basi!!