Mi pia. My better half is from jf...My first internship nilielekezwa na jamaa from jf. Kuna bidhaa na biashara huwa nanunua from members ambao tumejuana humu.
Kikubwa watu wanajistukia hususan wadada. Be real kuna wale wanajikuta wanafake saana wakijulikana uhalisia wao wanakosa confidence ya kuishi humu.
Wana wengi saana tumejuana humu kumbe wengine ni class mate kabisaa tena sometimes tulikuwa hadi n friends.
Changamoto sometimes unaweza kushindwa kueleza mambo yako hususan zile inner problems kutokana na kujulikana. Kitu kama hiki kinafanya usiwe free saaana. So ku avoid soo unajikuta una 'fekero' nadhan mnanielewa nikisema fekero