Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Hakika,, Amen..
Tuombeane jamani tupate watu wa kufanana nasi
Tuombeane jamani tupate watu wa kufanana nasi
Na kwa nini asikutrust?Hahaha...
Why do you trust me that deep brooh?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nisaidie basi ni-meet na Atoto, yeye haelewi kukutana live ndio mpango mzima, ila hiyo ya ku-check mwaka mzima mimi sitaweza [emoji39]
Nakujahahaha panda gari nauli ni elfu tatu tu 3000. Ukuje niku gawie na kukuandikisha
Ukuje na mrithi wako kabisa.
Hahaha Sijui unafeli wapi
Hapo sijaongelea ki jeifu jeifu...
Sawa dear!Loh!hebu nitafute maana zaidi
Wangu umepita sio haujafika.😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakati wetu haujafika mamy
Na kwa nini asikutrust?
Kwema.Sijambo kubwa...kwema??
Too bad...Wangu umepita sio haujafika.[emoji23][emoji23]
[emoji134][emoji2536][emoji3603][emoji134][emoji2536][emoji3603][emoji134][emoji2536][emoji3603][emoji134][emoji2536][emoji3603][emoji134][emoji2536][emoji3603][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitaki kuamini unanikana hadharani jamani[emoji134][emoji134][emoji134]
Wakati wewe ndio mtu pekee nilomeet nae jf, na sio kumeet tu nali kumeet kwelikweli[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji85]
Yes..ndivyo Mambo yalivyokuwa
Nini sasa?
Mimi naanzaje eti jamani mdogo wangu mzuri mzuri!!Mmhh mbona kama unanikejeli tu dada??
😂😂😂😂😂 HatariousMwenyezi Mungu anijaalie msimamo wangu uwe huu huu siku zote,miaka yote hadi nitakapoacha kutumia hii JF
Tatizo la humu unaweza kukutana na lets say ID ya Sakayo Watu8 Karma Depal Hawachi labda na Khantwe
Sasa unakuja kushangaa anayekuja kukuexpose jukwaani ni ID mpya kabisaaaa tofauti na hizo sita ulizowahi kumeet nazo....hapo ndio unapata kizunguzungu unaanza kubet sijui nani kati ya hao atakuwa kanianika?!!😂😂😂😂😂
Sasa why upate shida zote hizo?
Haijaisha..
Kwani maisha yenu yaliishia la saba..
NdiwoooWewe hapo unanitrust?
Tuanzie hapo [emoji41]
[emoji23][emoji23]Haki mie kuna muda JF huwa nashindwa kabisa kuielewa yaani kuna muda unaweza kuta watu wanachat kama wanajuana kuna muda unakuta wanachat kama hawajuani unashindwa kuelewa unabaki na mfurugano na hapo ndipo moyo wako unapokusuta na kukuambia "mind your own business young lady"
Kama mimi jamaniHaki mie kuna muda JF huwa nashindwa kabisa kuielewa yaani kuna muda unaweza kuta watu wanachat kama wanajuana kuna muda unakuta wanachat kama hawajuani unashindwa kuelewa unabaki na mfurugano na hapo ndipo moyo wako unapokusuta na kukuambia "mind your own business young lady"