Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Mzeebaba nini hiki?
Hahaha kwa Mara nyingine unaniangusha.Kitalu ni kitu gani Sakayo ?
Pole,mie sitaki kwa kweliHii kitu ishawahi nitokea..ila sikujiuliza sana nilipotezea maana hata huyo aliyeniona na mimi nilimjua kwa namna yangu
Yes..ndivyo Mambo yalivyokuwaAise Duuh
Hahaha...hivi Jo mbona swahili huwa inakusumbua sana...??
Sijui wadada wa siku hizi wanakwama wapi wanaangalia madolari tu
Nini sasa?Mmhh
Mnachukulia maisha serious sana. Mimi nishaonana na watu wengi humu kikazi na socially. Hadi kesho siogopi kukutana na yeyote nikiamua.
Nb: wengi wasemao hawataki au hawataonana na mwanajf....wanaongoza kuonana na watu.
Nipe kitalu changu banahahaha huna ubavu huo wa kunishtaki!
Unajua venye umetoka mbali na Sanchez.
Dogo hujambo?Aiseee
NdiwoooHivi ule ni uoga?
imeisha hiyo kakaake