Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,856
- 89,754
Hapana,sijui ni nini hikoHahahahahaha
Kweli wewe wa kishua!!
Hapana,sijui ni nini hikoHahahahahaha
Kweli wewe wa kishua!!
True that, ila sasa sisi wanaume ni mende ujue since day one like tokea tunazaliwa...kila jalala tumo...lakini kwenu huwa inakuwa special
Nakumbuka nikiwa primary kuna kadada kazuri kazuri kenyewe kumbe kalikuwa kananikubali bila miminkujua, lkn rafikize walikuwa wanajua...
Sasa siku ndio tumeua std 7, that day tulipikiwa wali mchafu na soda za chupa, kale karembo kakaanza kunisaka.Kila nikipita kona hii, naambiwa fulani anakutafuta hahaha.
Basi ile kafanikiwa kuniona, she ran after me, na kunihug like how em girls do in movies.
Nikapewa vizawadi pale, mostly misosi misosi...yaani hapo nipo nashangaa shangaa tu, nilikuwa mpole sana na very shy, mtu wa kitabu sana. Kwanza hapo nawaza nitapata ngapi out of 150 ili niende shule kali.
So i never reacted the way she would expect, tukala kala pale, jamaa zangu wakatokea tukaondoka zetu maana tulikuwa tunakaa mbali na tulipoenda fanyia paper, enzi hizo kama unasoma shule A, std 7 mnapangiwa kwenda kufanya huko shule P kuepuka paper kuvuja.
Since then sikuwahi jua yupo wapi, until some few years back, kashaolewa na ako na watoto na ako anaishi +44
Wapiii, wapo wakongwe humu kushuka huo muda na ni mafurushi vile vile.Hahaha...somehow it's true
Kuna raia wameiharibu sana hii forum hasa new comers kuanzia 2014 hapo kuja huku 2019
Na pia sababu ya kuwa JF kwa sisi wengine sio kuandika andika tu comments ka hivi...
Hii ni forum ambayo inabidi uitumie positively kupata fursa...
Kiswahili sanifu kabisa, utapata kwenye kamusiKitalu ni kiswahili cha wapi? Mie sikijui mbona
Mwenyezi Mungu anijaalie msimamo wangu uwe huu huu siku zote,miaka yote hadi nitakapoacha kutumia hii JF
Tatizo la humu unaweza kukutana na lets say ID ya Sakayo Watu8 Karma Depal Hawachi labda na Khantwe
Sasa unakuja kushangaa anayekuja kukuexpose jukwaani ni ID mpya kabisaaaa tofauti na hizo sita ulizowahi kumeet nazo....hapo ndio unapata kizunguzungu unaanza kubet sijui nani kati ya hao atakuwa kanianika?!!
Sasa why upate shida zote hizo?




Mara nyingi ni sehemu ya shamba ndani ya shamba!Hapana,sijui ni nini hiko
Dogo hujambo?
AiseeAiseee basi hapo mabaharia watakuambia ulichezea bahati,, mie crush wangu sikuwahi muambia chochote hadi tunamaliza na wala sikutaka hata ajue..
Shughuli ni kujua ni nani kati yao 😂😂😂
Basi ujue ni mmoja kati ya hao haoooo ndio anakuchokolea betri. Mbaya wako hatoki mbali.
hahaha panda gari nauli ni elfu tatu tu 3000. Ukuje niku gawie na kukuandikishaNipe kitalu changu bana
Mara nyingi ni sehemu ya shamba ndani ya shamba!
Ambayo huwa imepandwa miche ya mazao mbali mbali
Haya
Njoo tuonane