Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
Kifunike nakuja
Kinapoa ujue
Kinapoa ujue
Nitakusaidia kusoma mpenzi
Location.....
huku juu utaona vile tukionana live...Ndiyo najua ila kati ya zote ile tu ndiyo imeonesha viungo vingine nyingine naona imeonesha viatu tu
Hv toka lini unamtania jirani yako ww mtu
huku juu utaona vile tukionana live...
Hahah...umesahau mara ya mwisho niliambiaje wewe tena ndani ya uzi huu huu, mwanzoni mwanzoni kuleeeLini sasa jamani??
Hujambo....
Hahah...umesahau mara ya mwisho niliambiaje wewe tena ndani ya uzi huu huu, mwanzoni mwanzoni kuleee







Si unajifanya huelewiSome wanna act rough like John Cena
Some wanna get buff like John Cena
We used to be cool, when I used to come through
Now you wanna act tough like John Cena (Hayi bo!)
Chi! Chi! Chi! Chi
Chi! Chi! Chi!
Chi! Chi! Chi! Chi
Chi! Chi! Chi







View attachment 1272753
Sie hatuko na roho mbaya, ukucha tu?
Ila Mshana Jr hata akipata unywele anaweza kuutengeneza kupata picha nzima.
It'll take more than a year...(kulikuwa na maneno hayo)Mmhh lini hiyo??
Endelea na mawindo yako....Nimeliviziaa...
Leo nimekuta,chipsi na samaki..