Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Sijawahi kuona mimi jamani dearHivi Kuna wadada waliowahi onana na kuja kuchomoleana betri humu?
Sijawahi kuona mimi jamani dearHivi Kuna wadada waliowahi onana na kuja kuchomoleana betri humu?
ExactlyAsante,, una mawazo kama yangu.. mwenyewe kabla sijaanzisha mazoea na mtu huwa cha kwanza ninachowaza ni tabia tu siyo uchumi wala siyo kitu kingine maana kusipokuwa na compatibility ya tabia naona kabisa hatutafika mbali
NdioJamaaaniii
Yaani wewe ni muoga mimi nikasome jamanii!!Hahaha...
Kuna tatizo gani lakini?







Yaap..ila kwa id zao za kiume![]()
Hivi tunazungumzia nini eti jamaniNdio
Hatari ila ni ujinga tu







daah
Huu mwaka nimeshuhudia watu wanakimbia ID zao sababu ya meeting za kizembe zembe
Mie navyoipenda ID yangu sijioni nikitumia ID tofauti na hii arif!!!!
..Hivi Kuna wadada waliowahi onana na kuja kuchomoleana betri humu?
Yaani wewe ni muoga mimi nikasome jamanii!!![]()
Hahaha....kila mdada lazima at some point alikuwa na childhood crush..so i understand
Hata Mimi pia sijawahi kuona...na naamini hata ikitokea na kuonana na member wa kike hatoleta uswahili..ingawa kumuamini mtu napo mmhh..mtihani.Sijawahi kuona mimi jamani dear
Hii kitu ishawahi nitokea..ila sikujiuliza sana nilipotezea maana hata huyo aliyeniona na mimi nilimjua kwa namna yanguMwenyezi Mungu anijaalie msimamo wangu uwe huu huu siku zote,miaka yote hadi nitakapoacha kutumia hii JF
Tatizo la humu unaweza kukutana na lets say ID ya Sakayo Watu8 Karma Depal Hawachi labda na Khantwe
Sasa unakuja kushangaa anayekuja kukuexpose jukwaani ni ID mpya kabisaaaa tofauti na hizo sita ulizowahi kumeet nazo....hapo ndio unapata kizunguzungu unaanza kubet sijui nani kati ya hao atakuwa kanianika?!!
Sasa why upate shida zote hizo?
Hahaha...
Pole sana na Hongera mkuu.
Mungu akupe moyo huo huo mkuu..
tatizo miandiko...ukikutana na wale wenye miandiko mnayo ipendelea humu kuna asilimia 95 za kuchomoleana betri
Wewe umeshindikana akii kwa uogaHahahaa...
Sema aki vile...Nani muoga kati yako na mimi .
Tatizo la mtu kukuanika humu kwa ID mpya ni la mtu ambaye kwanza hajakuwa na hajielewi kabisaa!!!
Joanah nafikiri hilo unalijua sana tuu kutokana na watu unavyowaona pm! Miandiko tuu inatosha kukuambia tabia ya mtu!
Lengo la kufahamiana huwa ni la watu wawili, kama ni urafiki ni siri yenu ila ambalo huja kuleta shida ni mahusiano yakiingia kati hasa wale wasiojitambua dear!!!


Mnh mie nilishakuambia ni wivu tu