Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485



imeisha hiyo kakaake



imeisha hiyo kakaake



Nafikiri mpaka uwe rafiki na mtu mshazoeana zaidi ya comments za jukwaani!!
Na mnapokuwa mnawasiliana wawili tuu, lazima kuko na vitabia utaviona kabla hata hamjaonana!!
As for me, inaweza nichukua hata miaka mbili nawasiliana na mtu tuu bila hata kuonana naye akiwa na haraka anaweza kuondoka tuu dear!!
Kiukwelii mimi napenda sana kukutana na watu wapya walonipita umri, kiuchumi, elimu! Napenda kujifunza, kinachonitesa humu ndanii ni kuelewa tabia zao kama kweli zitaendana na zangu!
Lunch time...wapi kuko na lunch buffet poa?
Nikaipimie next time nimualike mdada mmoja wa jeiefu ili awe shuhuda kuwa jeiefu iko na wanaume poa piaView attachment 1274280
Sasa ninyi si mmekutana wote akili zenu zinafananayaani wewe na Shunie ni pipa na mfuniko,, kitu ukiongea wewe yeye atakuja kupigilia msumari na kitu akiongea yeye wewe utakuja kupigilia msumari vile vile
Sasa imagine unafahamiana na ndugu ambaye akili haziendani mimi mtu wa matani yeye yuko kauzu kila pumba nitakazoandika humu lazima aje inbox kuniuliza eti "Karma ni wewe kweli ndiyo umeandika vile??"yamewahi kunikuta instagram hayo sina hamu mimi








Mnachukulia maisha serious sana. Mimi nishaonana na watu wengi humu kikazi na socially. Hadi kesho siogopi kukutana na yeyote nikiamua.
Nb: wengi wasemao hawataki au hawataonana na mwanajf....wanaongoza kuonana na watu.
Hata nyie nawatafuta sana, huwa mna madini ya kutosha!!Looh sasa sisi ambao hatujakupita kwa chochote kati ya hivyo ulivyovitaja unatufikiriaje eti jamani??![]()
Hahaha...ndio ukazane umpite sasaLooh sasa sisi ambao hatujakupita kwa chochote kati ya hivyo ulivyovitaja unatufikiriaje eti jamani??![]()
What's the deal?Mmhh
HayaUmeona eenh?? Umenena vyema!!
Exactly
Na hilo ndo linanikwamishaga mimi!
Jf kuna watu wa aina tofauti. Ni wewe tu unaichukuliaje. Kuna connections humu watu hawajui tu. Na hawawezi kujua kwasababu wako so negative.Na pia sababu ya kuwa JF kwa sisi wengine sio kuandika andika tu comments ka hivi...
Hii ni forum ambayo inabidi uitumie positively kupata fursa...
NdiwoooNdo umeamua kuni shtaki kwa joanah kabisa
Tuombeane jamani tupate watu wa kufanana nasiYaani ni shida kwa kweli



aahh wapi unakuwaje na wivu na mtoto wa mwenzio na hata haumjui??
Hahaha wanadai wivu ndio upendo wenyewe![]()
Umeandika ukweli..
Nakumbuka nilipojiunga jf nilikutana na ugomvi wa wadada team fulani na team fulani walifikia hadi kutukanana..nikashangaa inakuwaje kuwaje..sawa wamekutana jf Sasa why hayo mapungufu yao ya nje ya jf wasiyamalize huko nje..
Kuna wakati huwa natamani rafiki kutoka jf lakini nikifiria Yale ya kusemezana vibaya kwenye Uzi..
Uwiii hapana..tubaki tusijuane tu
hahaha huna ubavu huo wa kunishtaki!Ndiwooo
Wewe umeshindikana akii kwa uoga
aahh wapi unakuwaje na wivu na mtoto wa mwenzio na hata haumjui??