Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa jamani mie sijasoma shule hizo ambazo ziko karibu na mashamba japo pia mie siyo wa kishua kabisa hauwezi amini,, tunapambana na maisha tu and the struggle is real..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karma njoo ujibu hizi shutuma...kumbe hujui hata maindi ya kukaanga na mabukunda yalikua na ladha gani??

Daaa ila tumesoma kwa shida sana aisee tulikua tunaenda kulima mashamba ya walimu hadi mikono inawaka moto[emoji16]
 
Hahah!!!

Dah hivi sasa mimi ningekuwa na IDs ngapi nimezi abandon since 2010...nadhani hata 20 zingefika...uuunh maybe all this time i've been lucky!
Huu mwaka nimeshuhudia watu wanakimbia ID zao sababu ya meeting za kizembe zembe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mie navyoipenda ID yangu sijioni nikitumia ID tofauti na hii arif!!!!
 
Karibuni lunch.
IMG_20191127_135805.jpeg
 
Naam...remember i have been in here since 2006 or 2007, hiyo 2010 ni joining date tu

Since 2014 ndio kumeanza kuwa na vimtu vya ajabu ajabu, nyuzi za ki idiots, douchebags kama wote...

Nyuzi za sijui nimekutana na fulani yuko vile n.k

Wakongwe wakaanza poteahumu, wengine tukachukua sabbatical leaves

Duuh hivi aliyejiunga 2014 naye bado ni new comer??[emoji2296][emoji2296]

Halafu nasikia eti zamani mlikuwa mnaandaa party mnakutana bila kujuana ni kweli??[emoji2368][emoji2368]
 
Back
Top Bottom