Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Hata siku hizi party zipo mbona..ila za watu watano mmezidi sana 10...kikubwa ni [emoji482][emoji481][emoji481]
Duuh hivi aliyejiunga 2014 naye bado ni new comer??[emoji2296][emoji2296]
Halafu nasikia eti zamani mlikuwa mnaandaa party mnakutana bila kujuana ni kweli??[emoji2368][emoji2368]