Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nafikiri mpaka uwe rafiki na mtu mshazoeana zaidi ya comments za jukwaani!!

Na mnapokuwa mnawasiliana wawili tuu, lazima kuko na vitabia utaviona kabla hata hamjaonana!!

As for me, inaweza nichukua hata miaka mbili nawasiliana na mtu tuu bila hata kuonana naye akiwa na haraka anaweza kuondoka tuu dear!!

Kiukwelii mimi napenda sana kukutana na watu wapya walonipita umri, kiuchumi, elimu! Napenda kujifunza, kinachonitesa humu ndanii ni kuelewa tabia zao kama kweli zitaendana na zangu!
Ngoja nije Pm tuzoeane
 
Cha muhimu ni kujua unaamua kukutana na watu wa aina gani na kwa sababu gani...

Kuna mtu jf nishafanya nae kazi humu ila hadi leo hafahamu kama ni mimi....

But, beyond the ID's we are hiding there are milions of things to share...

Ukipanga kukutana na mtu..Think about the life after meeting
Ulitumia ID ile ingine eeeehh
 
Asante,, una mawazo kama yangu.. mwenyewe kabla sijaanzisha mazoea na mtu huwa cha kwanza ninachowaza ni tabia tu siyo uchumi wala siyo kitu kingine maana kusipokuwa na compatibility ya tabia naona kabisa hatutafika mbali
Nilikuwa na msimamo kama wa joanah ila naona shetani ananizidi nguvu!

Seriously kuna wakati natamani kuonana na watu kwa ajili ya kupeana mawazo ya maendeleo, najua humu hatulingani, humu kuna watu wenye connection mob! Ila wasi wasi wangu ni je, hawa watu tutaendana kitabia?!
 
hilo nalo neno
Mwenyezi Mungu anijaalie msimamo wangu uwe huu huu siku zote,miaka yote hadi nitakapoacha kutumia hii JF

Tatizo la humu unaweza kukutana na lets say ID ya Sakayo Watu8 Karma Depal Hawachi labda na Khantwe

Sasa unakuja kushangaa anayekuja kukuexpose jukwaani ni ID mpya kabisaaaa tofauti na hizo sita ulizowahi kumeet nazo....hapo ndio unapata kizunguzungu unaanza kubet sijui nani kati ya hao atakuwa kanianika?!!

Sasa why upate shida zote hizo?
 
Back
Top Bottom