Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna baadhi ya wanawake jf wako very cooled kitu ambacho hata nje jf watakuwa hivyo hivyo...

Ila sasa kuna wanawake wengine ukiona comment yake moja tuu....

Ila pia kuna nyuzi za ugomvi zishaanzishwaga jf ...ukiangalia mhusika/wahusika kama kuna vijiwe fulani hivi..

You end up stepping back..!

Ila mimi naamini kila mtu anaweza kubahatika kuonana na mtu from jf na wakafanya maisha pouwa sana
Umeandika ukweli..

Nakumbuka nilipojiunga jf nilikutana na ugomvi wa wadada team fulani na team fulani walifikia hadi kutukanana..nikashangaa inakuwaje kuwaje..sawa wamekutana jf Sasa why hayo mapungufu yao ya nje ya jf wasiyamalize huko nje..

Kuna wakati huwa natamani rafiki kutoka jf lakini nikifiria Yale ya kusemezana vibaya kwenye Uzi..

Uwiii hapana..tubaki tusijuane tu
 
Dah yaani na wanapotea kweli aise kuna wakati nasomaga nyuzi za zamani nakutaga comments za watu ambao hata siwafahamu id zao najisemaga tu basi hawa watakuwa wamebadili id au wamepotea mazima

Hahahaha eti douchebags hilo neno umenikumbusha mbali aise
Naam...remember i have been in here since 2006 or 2007, hiyo 2010 ni joining date tu

Since 2014 ndio kumeanza kuwa na vimtu vya ajabu ajabu, nyuzi za ki idiots, douchebags kama wote...

Nyuzi za sijui nimekutana na fulani yuko vile n.k

Wakongwe wakaanza poteahumu, wengine tukachukua sabbatical leaves
 
Umeona eenh?? Umenena vyema!!
Tatizo la mtu kukuanika humu kwa ID mpya ni la mtu ambaye kwanza hajakuwa na hajielewi kabisaa!!!

Joanah nafikiri hilo unalijua sana tuu kutokana na watu unavyowaona pm! Miandiko tuu inatosha kukuambia tabia ya mtu!

Lengo la kufahamiana huwa ni la watu wawili, kama ni urafiki ni siri yenu ila ambalo huja kuleta shida ni mahusiano yakiingia kati hasa wale wasiojitambua dear!!!
 
True that, ila sasa sisi wanaume ni mende ujue since day one like tokea tunazaliwa...kila jalala tumo...lakini kwenu huwa inakuwa special

Nakumbuka nikiwa primary kuna kadada kazuri kazuri kenyewe kumbe kalikuwa kananikubali bila miminkujua, lkn rafikize walikuwa wanajua...

Sasa siku ndio tumeua std 7, that day tulipikiwa wali mchafu na soda za chupa, kale karembo kakaanza kunisaka.Kila nikipita kona hii, naambiwa fulani anakutafuta hahaha.
Basi ile kafanikiwa kuniona, she ran after me, na kunihug like how em girls do in movies.

Nikapewa vizawadi pale, mostly misosi misosi...yaani hapo nipo nashangaa shangaa tu, nilikuwa mpole sana na very shy, mtu wa kitabu sana. Kwanza hapo nawaza nitapata ngapi out of 150 ili niende shule kali.

So i never reacted the way she would expect, tukala kala pale, jamaa zangu wakatokea tukaondoka zetu maana tulikuwa tunakaa mbali na tulipoenda fanyia paper, enzi hizo kama unasoma shule A, std 7 mnapangiwa kwenda kufanya huko shule P kuepuka paper kuvuja.

Since then sikuwahi jua yupo wapi, until some few years back, kashaolewa na ako na watoto na ako anaishi +44
Yeah sana na hata wakaka pia lazima wanakuwaga na childhood crush
 
Sasa ninyi si mmekutana wote akili zenu zinafananayaani wewe na Shunie ni pipa na mfuniko,, kitu ukiongea wewe yeye atakuja kupigilia msumari na kitu akiongea yeye wewe utakuja kupigilia msumari vile vile

Sasa imagine unafahamiana na ndugu ambaye akili haziendani mimi mtu wa matani yeye yuko kauzu kila pumba nitakazoandika humu lazima aje inbox kuniuliza eti "Karma ni wewe kweli ndiyo umeandika vile??"yamewahi kunikuta instagram hayo sina hamu mimi
Mbona mimi mejuana na ndugu yangu Shunie wala sina hofu kabisaa
 
Cha muhimu ni kujua unaamua kukutana na watu wa aina gani na kwa sababu gani...

Kuna mtu jf nishafanya nae kazi humu ila hadi leo hafahamu kama ni mimi....

But, beyond the ID's we are hiding there are milions of things to share...

Ukipanga kukutana na mtu..Think about the life after meeting
Mnachukulia maisha serious sana. Mimi nishaonana na watu wengi humu kikazi na socially. Hadi kesho siogopi kukutana na yeyote nikiamua.
Nb: wengi wasemao hawataki au hawataonana na mwanajf....wanaongoza kuonana na watu.
 
Back
Top Bottom