Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🎵🎵Wanasemaga mapenzi safari
Unavyopita ndo jinsi unajongea
Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea
Niliposikiaga habari
Yakisifika nikakesha nangojea
Akabariki jalali na nikawika muziki nikauotea
Ile pruuu mpaka macca
Nikadandiaga bongo movie
Kumbe mapenzi hayataki haraka
Ni kama tango natia tu chumyi
Mwenzenu nikaoza haswa
Na kujitia kitandani mjuzi
Eti nataka fukuza paka
Badala ya mbwa nikafuga mbuzi, hhhmmm

Wivu ukanifanya nikagombana na marafiki
Ugomvi na mamangu akiniambia siambiliki🎵🎵
Kwahiyo Umekoma au bado haukomi tu ???
 
Niliwahi ibiwa pochi ilikua na kila kitu sema ilikua saa 6 usiku sijui nilikua najiamini nini kutembea usiku ule mwenyewe😅

Walinikomesha ila walinifundisha somo zuri🤣 maana since then hunikuti naranda nje usiku bila sababu za msingi

Laiti ningetumia hyo style simu yangu ingepona maana sikua na cash kwa pochi so kilichoniuma ni simu.
Duh!! Pole japo zamani .
 
Yan simu unaiwekaje kwa mkanda wa bra? Si itatuna?

Nilikuwa na tabia kama nimevaa suruali naiweka mfuko wa nyuma. Mara nyingi skin jeans hazinaga mifuko mbele.
Au kama ni bag naweka kale ka mfuko ka nje.. yan nilikuwa naishi as if raia wote nimezaliwa nao.

Siku 1 pale Impala.. nipande hiace za Njiro kama kawaida simu iko pembeni ya begi. Mpiga debe akaichomoa hata sijasikia 😄😄
Nikazama kwa Hiace, kumbe kuna abiria alimuona.

Basi nimeingia nimekaa, yule kaka akaniuliza simu yako iko wapi? Si ndo nacheck mifuko ya pembeni ya bag siioni.
Mara yule kaka akamwambia yule mpiga debe wewe rudisha hiyo simu sahivi kabla sijashuka...
ikarudi... basi nikamshukuru mkaka wa watu.,. Nikamlipia na nauli ☺️

Tokea hapo, nimekoma huo mtindo.
Aisee....
 
Niliwahi ibiwa pochi ilikua na kila kitu sema ilikua saa 6 usiku sijui nilikua najiamini nini kutembea usiku ule mwenyewe😅

Walinikomesha ila walinifundisha somo zuri🤣 maana since then hunikuti naranda nje usiku bila sababu za msingi

Laiti ningetumia hyo style simu yangu ingepona maana sikua na cash kwa pochi so kilichoniuma ni simu.

Hii huwa inakuwa ni incidence tu na kukabwa au kuibiwa hakutabiriki, Kuna siku nimetoka zangu maeneo ya Africa Sana, mida ya usiku wa saa 6 nikabeba na chupa kabisa mkononi nikajiambia wakitokea tu hapa naruka nao. Nikakaribia kabisa na Home nikaitupa ile Chupa dk 1 tu hawa hawa na mapanga. walinichukulia kila kitu na Wallet wakanirudishia.
 
😀
IMG-20230614-WA0064.jpg
 
Back
Top Bottom