Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,325
- 2,590
Ukimaliza kula, una lala chini tu🤣😂😂, hata vyombo una shindwa kutoa😂😂😂Liugali
Kwakweli ilamboga changamotoUkimaliza kula, una lala chini tu🤣😂😂, hata vyombo una shindwa kutoa😂
Nahisi zimefichwa tu🤣😂Kwakweli ilamboga changamoto
Si huyu Intelligent businessman anataka kunipa adhabu kubwa kuliko uwezo wangu!!😟Pole Dokta, mbona huu uzi sio wa mambo magumu ? mpaka kutakiana vifo?
Mjep hujambo kipenzi uko poa?
Utalala vizuri nitakuja nikubembelezeNiko poa sweet heart 😍
Ila aunt umeona Intelligent businessman alivyonikata jicho? Leo nitalala usiku kweli?
Ntajitahidi!🙂
🤗🤗Hili hapa linakuwa namba 5,ukitoa yale mengine,likiongozwa na lile jeusi.
Kwa style hii, utakula hizi zote leoo🤣😂 @dr lizzy
😳😳😳😳😳😳😳Dr Lizzy, ka ugali kadogo Kama kilo 1 kakuuue😂😂😂 na hi Sasa😂
👉 mshamba_hachekwi, Aaliyyah njoo tule😍
View attachment 2658479
Kumbe ndivyo ulivyo,Utalala vizuri nitakuja nikubembeleze
Huyu nitamalizana nae Mimi😂😂😂
Ngoja niombe ban kwa Max 🏃🏾♀️ 🏃🏾♀️Kwa style hii, utakula hizi zote leoo🤣😂 @dr lizzyView attachment 2658511
You must fulfill the challenge, la sivyo uta ongezewa adhabu,😂🤣Ngoja niombe ban kwa Max 🏃🏾♀️ 🏃🏾♀️
Jitahidi umalizee😂🤣😳😳😳😳😳😳😳
Kuona picha tu mapigo ya moyo yameshaanza kwenda mbio!