Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
🤣🤣🤣Mfuko gani shoo? 😂😂 hizi vimini tunavaa zina mifuko kwani
Basi unabania kwenye mkanda wa bra 😄
🤣🤣🤣Mfuko gani shoo? 😂😂 hizi vimini tunavaa zina mifuko kwani
tuishi tu maana hivi vitu havitabirikiduh
Ila mambo yenu huku bana.
Mnajikuta kama mko Sauzi
Kwa tukio la leo, kuna vitu naacha kabisa.
Kwanza usikute ni Mungu kanipa alert maana huu mwezi nimezurura mno
That's cool, unatakiwa umrahisishie mazingira yakuitumia ilivyo ili iwe rahisi kuikamata kuliko ikigeuzwa spare partsErase data
Simu inabaki plain.. new kabisa
Vitabaki vya Icloud, google, wasap kama ulikuwa unafanya back up.
Unazidi kuna wili tu shame ake Chino!!
Uwii si ndo nitakatwa nyonyo 🤣🤣🤣🤣🤣
Basi unabania kwenye mkanda wa bra 😄
Nilopoteza find my device ilikuwaga off. So sikuhangaika lolote zaidi ya kufunga.That's cool, unatakiwa umrahisishie mazingira yakuitumia ilivyo ili iwe rahisi kuikamata kuliko ikigeuzwa spare parts
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣Uwii si ndo nitakatwa nyonyo 🤣🤣
Naanza kukaa kwa pattern aisee
Nilijisahau sana kuhusu huu mkoa na 3 mzuka.
Maana siku ingine natembea kwa miguu tu mpk usiku mkali, sina wasi yan
Hii mbinu naichukua 😂🤣🤣🤣
Basi unabania kwenye mkanda wa bra 😄
Ila wewe mtoto unanata sana, huna simu na infinix ipo Ila ukaikataa🤣🤣Bro sasa si ndo akanipa ile infinix
Eti weka laini humu nikutumie picha uvimbe status.
Wai kuishika simu haina tofuti na mche wa sabuni 😂😂😂
Si ndo nikazingiziia haipeleki moto
Ila atakuwa alielewa tu sjaipenda
Pale mshamba_hachekwi clock tower sheli. Kuna work mate aliporwa simu pia na boda.Mwanayamala,Kinondoni sio salama kabisa a friend of mine walimpora alikua anaongea na mtu pale maeneo ya Biafra[emoji1][emoji1][emoji1]
🤩🤩🤩Twenzentu training Dr Lizzy View attachment 2658123
Heri kitochi ijulikane sipo online, kuliko kile kitofaliIla wewe mtoto unanata sana, huna simu na infinix ipo Ila ukaikataa🤣🤣
Na ulikua unajiachia njia nzima mwenyewe Kisa kusindikizwa.Pale mshamba_hachekwi clock tower sheli. Kuna work mate aliporwa simu pia na boda.
Huoni siku hizi nimeacha za kukupigia unisindikize Lenie ni baada ya hiyo story ya work mate. Juzi kati tu hapo, wahuni wakapita na infinix yake 😅😆
Ila wezi jamani
Wauwawe tu wakidakwa
Niliwahi ibiwa pochi ilikua na kila kitu sema ilikua saa 6 usiku sijui nilikua najiamini nini kutembea usiku ule mwenyewe😅🤣🤣
Iko poa sana...hata jana nimeitumia. Mtu akikuona hujabeba chochote anajua hujatembea hata na simu.
Inabidi Depal afundishwe kwa mifano!🤓
Yan simu unaiwekaje kwa mkanda wa bra? Si itatuna?🤣🤣
Iko poa sana...hata jana nimeitumia. Mtu akikuona hujabeba chochote anajua hujatembea hata na simu.
Inabidi Depal afundishwe kwa mifano!🤓