Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
Ni
Nitakujibu tulia 😀Mbona haujibu vizuri? Hukomi nini ? 😀
Nitakujibu tulia 😀Mbona haujibu vizuri? Hukomi nini ? 😀
Mapanga duuh aki nahisi ningezimia hapo hapo kwanza then wangeniibia kwa amani😂Hii huwa inakuwa ni incidence tu na kukabwa au kuibiwa hakutabiriki, Kuna siku nimetoka zangu maeneo ya Africa Sana, mida ya usiku wa saa 6 nikabeba na chupa kabisa mkononi nikajiambia wakitokea tu hapa naruka nao. Nikakaribia kabisa na Home nikaitupa ile Chupa dk 1 tu hawa hawa na mapanga. walinichukulia kila kitu na Wallet wakanirudishia.
Nikifa utafaidika vipi???🙄🙄🙄🙄Sawa, utapewa adhabu ya kupika na kula ugali kilo 1, pekeako 😂😂😂
Hahahaha, kumbe zile vocha za humu huwa zinatumwa kwa style hii,dah kazi ipo
Ndio taifa letu hili limeshindwa kuja na mkakati wa kudhibiti au kupunguza haya matukio, zanzibar hizi mambo hazipo, lakini hapa Dar ni shida na Vibaka wanakuwa wanajulikana kabisaMapanga duuh aki nahisi ningezimia hapo hapo kwanza then wangeniibia kwa amani😂
Pole sana, vibaka sio watu poa kabisa
Huwa nahisi hizi bia ni kwa mabinti tu, kumbe hata masela wanazinywa?
Hahahaha, kumbe zile vocha za humu huwa zinatumwa kwa style hii,dah kazi ipo
Pole Dokta, mbona huu uzi sio wa mambo magumu ? mpaka kutakiana vifo?Nikifa utafaidika vipi???🙄🙄🙄🙄
Uni tag sasa au Private DM 🙏🙏Ni
Nitakujibu tulia 😀
Niko salamaMarahaba boss
Uko salama mdogo wangu?
Happy birthday Mkuu..Happy birthday to me Mwachiluwi
Hili hapa linakuwa namba 5,ukitoa yale mengine,likiongozwa na lile jeusi.
Dr Lizzy, ka ugali kadogo Kama kilo 1 kakuuue😂😂😂 na hi Sasa😂Nikifa utafaidika vipi???🙄🙄🙄🙄
Niko salama
Ujue hii wiki nimekumiss tu[emoji23]
Kuna kitu niliona kikanifanya niwe nakukumbuka wiki nzima.
NitakutagUni tag sasa au Private DM 🙏🙏
😂😂LiugaliDr Lizzy, ka ugali kadogo Kama kilo 1 kakuuue😂😂😂 na hi Sasa😂
👉 Aaliyyah njoo tule😍
View attachment 2658479