Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwanayamala,Kinondoni sio salama kabisa a friend of mine walimpora alikua anaongea na mtu pale maeneo ya Biafra[emoji1][emoji1][emoji1]
Nilishawahi kukabwa Mwananyamala saa 5 asubuhi na madogo walikuwa wana visu bahati nzuri nilikuwa na Ki Itel na hela niliiweka M PESA wakanikuta nina sh 400 tu.
 
Ila kwanini hukushtuka wala kuogopa🤣
Mkoba nilikuwa nimeuweka site isiyoweza anguka kirahisi... af nilikuwa nimeushika tight mno, ile pia nadhani ilifanya nisipate woga kuwa utabebwa.

Pili roho ya mashtuko nadhani sina, ile december nilivyopoteza simu namwambia wifi simu imepotea getini mle ndani wakawa hawaamini mpk wakaenda kwenye camera.
Kisa sura yangu ilikuwa iko zake kawaida like nothing happened., mpk wallivyopiga simu haipatikani, ndo wanaanza kunisikitikia,, Me niko kawaida,. Kesho niko kawaida.
Mdada wa kazi ananitania utaanza kulia saa ngapi? 🤣🤣
Nacheka tu yan
 
mshamba_hachekwi
Waambie ndugu zako 3 mzuka k.mam.ae zao 😡Leo nimewachukia 🤮🤮

Since day moko hapa mjini nishaambiwa ikifika saa 12 usiende mjini na mkoba 🤣
Na ukienda nae macho yako yawe mkobani muda wote.

Leo bana mepanda zangu town,, sikutegemeea kukawia sana so nikaenda na toyo go& return.
Wakati wa kurudi Njiro sasa, toyo si akapita short cut ya bia!! The Don huku mpk bwawani aje kutokea reli.
Basi tumefika bwawani katikati,. Ikatokea toyo ina watu wawili inatusogelea.
Ni ghafla bin vuuu toyo wangu anaambiwa asimame, mara mkoba ukavutwa 🤣🤣
Uzuri nishapewaga tahadhari so mkoba wangu nilikuwa nimeushika tight sana tokea mwanzo.
Wakashindwa kuutoa, toyo yao ikaayumba, yetu ikapepea.

Namshukuru Mungu tumekuwa salama.
Toyo wangu ametetemeka mpk huruma, ananishangaa mm kwanini sijapata mshtuko.

Lenie
Ka aifon kangeenda na leo 🤣
Ningelog in kwa mtu kesho nikafungilie mbali kama kale ka mwanzo.
unaona sasa.... we si ulinicheka tukio langu😂

enewei pole, shortcut ya bia usipite jioni au usiku labda uwe na gari.... na ile njia inapanda kutoka pale gold crest kutokea kule mount meru
 
Af kweli, maana angekua kwenye gari yake haya yote yasingetokea
Depal unataka gari gani eti
Gari ndio haziporwi?
Si inapigwa chain tuta tu inakwama 😂

Me napenda ractis ya kijani au nyeupe 🤣🤣🤣
 
unaona sasa.... we si ulinicheka tukio langu😂

enewei pole, shortcut ya bia usipite jioni au usiku labda uwe na gari.... na ile njia inapanda kutoka pale gold crest kutokea kule mount meru
We sa unaibiwaje The Hub!? 🤣🤣

Gold crest ipi? Inayopanda The Hub?? Ila boda na bajaji nimemaliza nazo mkataba ikifiika jioni
 
Mkoba nilikuwa nimeuweka site isiyoweza anguka kirahisi... af nilikuwa nimeushika tight mno, ile pia nadhani ilifanya nisipate woga kuwa utabebwa.

Pili roho ya mashtuko nadhani sina, ile december nilivyopoteza simu namwambia wifi simu imepotea getini mle ndani wakawa hawaamini mpk wakaenda kwenye camera.
Kisa sura yangu ilikuwa iko zake kawaida like nothing happened., mpk wallivyopiga simu haipatikani, ndo wanaanza kunisikitikia,, Me niko kawaida,. Kesho niko kawaida.
Mdada wa kazi ananitania utaanza kulia saa ngapi? 🤣🤣
Nacheka tu yan
Utaanza kulia saa ngapi?🤣🤣🤣

Tatizo lako umafia umekuzidi, upunguze ugumi basi japo kidogo
 
😂😂😂😂 ngoja nikapost kwenye uzi anaoshinda mzee wa ractis nyekundu
Ile siku utakayobondwa aki usiniiite, maana nitakua sikujui🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom