Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Kitofali🤣🤣Heri kitochi ijulikane sipo online, kuliko kile kitofali
Kitofali🤣🤣Heri kitochi ijulikane sipo online, kuliko kile kitofali
Huyo mkaka alikua mstaarabu.Yan simu unaiwekaje kwa mkanda wa bra? Si itatuna?
Nilikuwa na tabia kama nimevaa suruali naiweka mfuko wa nyuma. Mara nyingi skin jeans hazinaga mifuko mbele.
Au kama ni bag naweka kale ka mfuko ka nje.. yan nilikuwa naishi as if raia wote nimezaliwa nao.
Siku 1 pale Impala.. nipande hiace za Njiro kama kawaida simu iko pembeni ya begi. Mpiga debe akaichomoa hata sijasikia 😄😄
Nikazama kwa Hiace, kumbe kuna abiria alimuona.
Basi nimeingia nimekaa, yule kaka akaniuliza simu yako iko wapi? Si ndo nacheck mifuko ya pembeni ya bag siioni.
Mara yule kaka akamwambia yule mpiga debe wewe rudisha hiyo simu sahivi kabla sijashuka...
ikarudi... basi nikamshukuru mkaka wa watu.,. Nikamlipia na nauli ☺️
Tokea hapo, nimekoma huo mtindo.
Nimekoma 😆Na ulikua unajiachia njia nzima mwenyewe Kisa kusindikizwa.
Maisha magumu watu washajiamulia kuwa vibaka, halafu wanaongea wadada zaidi
Imani itakuja kuniponza vibaya siku1Huyo mkaka alikua mstaarabu.
Yaani unaweka simu mfuko wa nyuma wa jeans? Tena Arusha?
Ulikua unajiona uko Ulaya eeh😂
😂 nina ya kuku pia🤩🤩🤩
Hii inafaa sana maana kampango kakuanzisha shamba ni ndoto inayojirudia rudia.😊
Kweli kabisaPole saana, tumia wale wa mitandao, hawa boda wa mtaani wakati mwingine wanashirikiana na wezi, unaweza kumwona kama vile hajui kumbe ni kati yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]Pole sana Miss Depal naona maeneo ya Mwananyamala wanafanya mpaka practical jinsi ya kupora maana wanakuwa watatu halafu wana practice [emoji58][emoji58][emoji58]
Mimi huwa nashika simu mkononi nikiwa kwenye boda.Pole mwaya!!!Wakati mwingine uwe unaweka simu mfukoni ili hata ikitokea wameotea mkoba wasipate simu.
we jamaa unafanya birthday ngapi kwa mwaka😂Happy birthday to me Mwachiluwi
Nyingine ipiwe jamaa unafanya birthday ngapi kwa mwaka😂
kuna siku ulipost humu birthday skumbuki lini....Nyingine ipi
No sio mimikuna siku ulipost humu birthday skumbuki lini....
ngoja ni-screenshoot hii siku ukileta nyingine nakuumbua hapahapa😂No sio mimi
Acha unaakuna siku ulipost humu birthday skumbuki lini....
Babie gal 😙😘
We tulia ntakuonyesha.Yan simu unaiwekaje kwa mkanda wa bra? Si itatuna?
Nilikuwa na tabia kama nimevaa suruali naiweka mfuko wa nyuma. Mara nyingi skin jeans hazinaga mifuko mbele.
Au kama ni bag naweka kale ka mfuko ka nje.. yan nilikuwa naishi as if raia wote nimezaliwa nao.
Siku 1 pale Impala.. nipande hiace za Njiro kama kawaida simu iko pembeni ya begi. Mpiga debe akaichomoa hata sijasikia 😄😄
Nikazama kwa Hiace, kumbe kuna abiria alimuona.
Basi nimeingia nimekaa, yule kaka akaniuliza simu yako iko wapi? Si ndo nacheck mifuko ya pembeni ya bag siioni.
Mara yule kaka akamwambia yule mpiga debe wewe rudisha hiyo simu sahivi kabla sijashuka...
ikarudi... basi nikamshukuru mkaka wa watu.,. Nikamlipia na nauli ☺️
Tokea hapo, nimekoma huo mtindo.
amini😂Acha unaa