Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Dada nimechekaa mnoooWapewe tu ,wapeni nyie wenyewe
Mm nawapa weupe.
Unakuta kaka mweusi tiii anakuja
Uwii nasema Mungu epushia mbali.
Asante Mungu tu nina bahati na weupe.

is blueUkiona tu nimekuzidi weusi usinifate.Dada nimechekaa mnooo
Ko wee unawatakaa weupee tyuuh.

Carasco Putin ukuje sasa😂 mtoto chocolate skin😋City Manchester for life
The worldis blue
The sky is blueView attachment 2657471View attachment 2657473View attachment 2657480
Ndiwooooooh!!!!!City Manchester for life
The worldis blue
The sky is blueView attachment 2657471View attachment 2657473View attachment 2657480

Ukiona tu nimekuzidi weusi usinifate.
Nataka wa kutakatisha watoto wetu aisee..
Ukiona nipo na mweusi basi ujue nilikosa option,nikamchukua tu option ya mwisho![]()

nimechekaa jomoneeee khaaahIli niende kwake?Dogo aliweka mtego😊
Yes😅Ili niende kwake?
Dah 😂😂😂
Pole sanamshamba_hachekwi
Waambie ndugu zako 3 mzuka k.mam.ae zao 😡Leo nimewachukia 🤮🤮
Since day moko hapa mjini nishaambiwa ikifika saa 12 usiende mjini na mkoba 🤣
Na ukienda nae macho yako yawe mkobani muda wote.
Leo bana mepanda zangu town,, sikutegemeea kukawia sana so nikaenda na toyo go& return.
Wakati wa kurudi Njiro sasa, toyo si akapita short cut ya bia!! The Don huku mpk bwawani aje kutokea reli.
Basi tumefika bwawani katikati,. Ikatokea toyo ina watu wawili inatusogelea.
Ni ghafla bin vuuu toyo wangu anaambiwa asimame, mara mkoba ukavutwa 🤣🤣
Uzuri nishapewaga tahadhari so mkoba wangu nilikuwa nimeushika tight sana tokea mwanzo.
Wakashindwa kuutoa, toyo yao ikaayumba, yetu ikapepea.
Namshukuru Mungu tumekuwa salama.
Toyo wangu ametetemeka mpk huruma, ananishangaa mm kwanini sijapata mshtuko.
Lenie
Ka aifon kangeenda na leo 🤣
Ningelog in kwa mtu kesho nikafungilie mbali kama kale ka mwanzo.
Daahh..dogo pole saña dear Mpk umetukanaamshamba_hachekwi
Waambie ndugu zako 3 mzuka k.mam.ae zaoLeo nimewachukia
Since day moko hapa mjini nishaambiwa ikifika saa 12 usiende mjini na mkoba
Na ukienda nae macho yako yawe mkobani muda wote.
Leo bana mepanda zangu town,, sikutegemeea kukawia sana so nikaenda na toyo go& return.
Wakati wa kurudi Njiro sasa, toyo si akapita short cut ya bia!! The Don huku mpk bwawani aje kutokea reli.
Basi tumefika bwawani katikati,. Ikatokea toyo ina watu wawili inatusogelea.
Ni ghafla bin vuuu toyo wangu anaambiwa asimame, mara mkoba ukavutwa
Uzuri nishapewaga tahadhari so mkoba wangu nilikuwa nimeushika tight sana tokea mwanzo.
Wakashindwa kuutoa, toyo yao ikaayumba, yetu ikapepea.
Namshukuru Mungu tumekuwa salama.
Toyo wangu ametetemeka mpk huruma, ananishangaa mm kwanini sijapata mshtuko.
Lenie
Ka aifon kangeenda na leo
Ningelog in kwa mtu kesho nikafungilie mbali kama kale ka mwanzo.
Imekula kwake hyo😂Yes😅
Ahsante mkuu.Pole sana